Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hakuna kifo kinachopagwa na Mungu hata uwe na miaka zaidi ya 70Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.
Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.
Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
Watu wameanza kuelimika sasaKanuni za asili haziwezi kubadilishwa na chochote. Nafurahi kusikia watu wanaona Mungu sio muweza wa yote.Tukiondoa nadharia hii vichwani basi tutatatua matatizo mengi ila tukiendelea kungoja huruma za mungu tutahangaika maishani
duh cha yesu kilipangwa na nani..? na shetani ama..Yes hakuna kifo kinachopagwa na Mungu hata uwe na miaka zaidi ya 70
Wala sijawahi kupata sababu za kuridhisha ya kwanini mtu akifa wanasema kazi ya Mungu haina makosa.
Mi nnachojua ni kuwa kifo ni law of Nature sasa mambo ya kuniorodheshea mtu mmoja mmoja nayo[emoji134] [emoji134]duh cha yesu kilipangwa na nani..? na shetani ama..
So They say every thing happens is GOD engineering...
So hata lifestyle ni God Engineering...
Kama shetani anaweza kuua watu basi hakuna sababu ya uwepo wa mungu.yaani mungu na miguvu yake ashindwe na kidubwana kishetani.niungane na wasioamini uwepo wa mungu.Aliesababisha kifo kwa mwanadam ni shetani na mtawala wa dunia kwa sasa ni shetani baada ya kufukuzwa mbinguni naamini kuwa anuwezo wa kuua.Mungu alimwambia mjaribu lakini usiguse maisha yake (Ayubu)
Mungu hapangi kifo kwa sababu hayupo.Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.
Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.
Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.