Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Swali la unajuaje, kama kweli mungu yupo, na wewe una mjua kikweli, halikosi jibu muafaka.Mkuu kiranga naamini hata nikijibu maswali yako in details bado swali lako litabaki kuwa pale pale unajuaje! na haitaishia hapo. kila jibu litakuwa na swali hivyo tunaweza tusimalize leo. Mimi naona tukubaliane au kutokubaliana kuwa Mungu yupo. Kama wewe unalojibu la unajuaje nijuze ningependa kujua.
Ukweli kwamba umeshindwa kulijibu unaonyesha ama hayupo, au humjui.
Inawezekana kabisa humjui kwa sababu hayupo.