SIFA ZA MUNGU WENU.
1) ni muumbaji wa kila kitu.
2) ni muweza wa kila kitu.
3) ana upendo mkuu /yaani ana upendo kupita chochote ukijuacho na usichokijua.
4) yeye huujua mwisho kabla ya mwanzo na mwanzo kabla ya mwisho.
5) hujua njia zetu zote hata kabla ya kutuumba, au kabla ya kuzaliwa
6) yeye ni mungu mpangaji wa kila kitu!
7) ametupa uhuru wa kuchagua ilihali alitujua pamoja na njia zetu hata kabla ya kuwepo kwetu, na bado ataenda kutuhukumu kwa haya tuyatendayo ambayo yeye ndio alieyaweka ndani yetu [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yapo mengi yasiyoeleweka kuhusu huyu mungu wenu wa kufikirika.
Je! Sifa za huyo mungu wako zunaruhusu umuombee kiranga mabaya? Bila shaka wewe na huyo mungu wako mnajitekenya alafu mnacheka [emoji4]
Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, aliyejua mambo yote kumhusu kiranga kabla hata ya kiranga kuzaliwa, pia kisabanishi cha kiranga kuwepo, haimpasi kutenda hayo unayosema wewe.