Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Mkuu tangu umeanza kuomba uthibitisho wa uwepo wa Mungu mpaka sasa hujapata tu??Mungu hapangi kifo kwa sababu hayupo.
Kama yupo naomba kuthibitishiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tangu umeanza kuomba uthibitisho wa uwepo wa Mungu mpaka sasa hujapata tu??Mungu hapangi kifo kwa sababu hayupo.
Kama yupo naomba kuthibitishiwa.
Hata siku moja sijapata.Mkuu tangu umeanza kuomba uthibitisho wa uwepo wa Mungu mpaka sasa hujapata tu??
Yeye alikuja kwa kazi maalumu na ndio hakuwa na maisha marefu baada ya kukamilisha kazi take (kulingana na wanaomuamini)Yesu aliishi miaka 33 tu
Hahahaah keep on waiting ipo siku watakuja na uthibitisho huenda bado wanatafiti piaHata siku moja sijapata.
Napata mahubiri na maruweruwe tu.
Tunakoelekea huko, wanaotumia kichwa kufikiri zaidi ya kuweka imani zisizo mashiko mbele wataona haya mambo ya kuamini kuwapo kwa mungu ni mapokeo yasiyo na ukweli.Hahahaah keep on waiting ipo siku watakuja na uthibitisho huenda bado wanatafiti pia
Hii mpya
Kuna mdau anaitwa Nyani Ngabu alihaidiwa kulogwa kwasababu haamini uchawi
Lakini mpaka leo yupo
Ndio maana ninataka ueleze baadhi ya hayo mambo na ukayatolea maelezo ni vp si ya kweli na ukweli ni upi,maana pengine unaweza ukahamisisha wengine wakaweza kudadisi kama ulivyofanxa wewe.Kwangu mimi niliamini kutokana na imani potofu za kupokea.
Imani kama vike ni kazima binadamu na viumbe wote wawe wameumbwa na mungu, kitu ambacho si kweli na hakina ushahidi, sembuse uthibitisho.
Imani ni nini?na tupe mifano miwili nje ya kinachojadiliwa hapa yenye kuendana na hiyo maana yako ya imani.Hahahaaaaa.
Still alive and kicking [ass]😀.
Shida hapa nadhani ni watu kutokujua 'imani' ni nini.
Imani ni nini?
na tupe mifano miwili nje ya kinachojadiliwa hapa yenye kuendana na hiyo maana yako ya imani.
Nataka kulinganisha tafsiri uliyotoa ya neno imani na uhalisia wake katika matumizi ya hilo neno. Maana unaweza ukawa umetoa tafsiri kwa mtazamo wako kutokana na majadiliano ya humu tu.Imani ni jambo au mambo anayoyakubali mtu kuwa ni ya kweli na anayopaswa kuyaheshimu. Ni mambo ya kufikirika, kudhanika, au kusadikika ambayo mtu anayakubali kuwa ni ya kweli.
Kwa nini nikupe mifano miwli nje ya kinachojadiliwa hapa? Huko si kutakuwa kuenda nje ya mada!
Nataka kulinganisha tafsiri uliyotoa ya neno imani na uhalisia wake katika matumizi ya hilo neno. Maana unaweza ukawa umetoa tafsiri kwa mtazamo wako kutokana na majadiliano ya humu tu.
Kwani hapa tunajadili imani ya nini? Dini au?
Ndio utaelewa zaidi kwa sababu ukweli utakuwa unakupiga moyoni, kwa mkichwa na usoni.Nikijitoa ufahamu nitaielewaje?
Kwahyo zile oxygen pump mahospitalin zinaendeshwa na mungu ndani yake
Mkuu oxyjen sio uhai, uhai umetoka kwa Mungu na mtu kuwa hai haitokani na oxyjen bali uhai uliondani yake toka kwa Mungu. Oxygen imetengenezwa na binadamu, ndio sababu huwa wanasema amewekewa oxygen "kumsaidia" so oxygen inasaidia na sio kwamba ndio uhai wenyewe... wataalamu wanakupa ufafanuzi zaidi.