Kifo hakipangwi na Mungu

Kifo hakipangwi na Mungu

Hahahaah keep on waiting ipo siku watakuja na uthibitisho huenda bado wanatafiti pia
Tunakoelekea huko, wanaotumia kichwa kufikiri zaidi ya kuweka imani zisizo mashiko mbele wataona haya mambo ya kuamini kuwapo kwa mungu ni mapokeo yasiyo na ukweli.
 
Kwangu mimi niliamini kutokana na imani potofu za kupokea.

Imani kama vike ni kazima binadamu na viumbe wote wawe wameumbwa na mungu, kitu ambacho si kweli na hakina ushahidi, sembuse uthibitisho.
Ndio maana ninataka ueleze baadhi ya hayo mambo na ukayatolea maelezo ni vp si ya kweli na ukweli ni upi,maana pengine unaweza ukahamisisha wengine wakaweza kudadisi kama ulivyofanxa wewe.
 
Hahahaaaaa.

Still alive and kicking [ass]😀.

Shida hapa nadhani ni watu kutokujua 'imani' ni nini.
Imani ni nini?na tupe mifano miwili nje ya kinachojadiliwa hapa yenye kuendana na hiyo maana yako ya imani.
 
Kwamba kufa au kuzaliwa ni mapenzi ya Mungu ni imani tu. Kwa sababu pia Mungu anachukia zinaa laki mamilioni huzaliwa kwa njia zinaa iweje hayo yawe mapenzi yake? kuzaliwa na kufa nu vitu vipo automatic na pia biologica na coincidence
 
Imani ni nini?

Imani ni jambo au mambo anayoyakubali mtu kuwa ni ya kweli na anayopaswa kuyaheshimu. Ni mambo ya kufikirika, kudhanika, au kusadikika ambayo mtu anayakubali kuwa ni ya kweli.

na tupe mifano miwili nje ya kinachojadiliwa hapa yenye kuendana na hiyo maana yako ya imani.

Kwa nini nikupe mifano miwli nje ya kinachojadiliwa hapa? Huko si kutakuwa kuenda nje ya mada!
 
Imani ni jambo au mambo anayoyakubali mtu kuwa ni ya kweli na anayopaswa kuyaheshimu. Ni mambo ya kufikirika, kudhanika, au kusadikika ambayo mtu anayakubali kuwa ni ya kweli.

Kwa nini nikupe mifano miwli nje ya kinachojadiliwa hapa? Huko si kutakuwa kuenda nje ya mada!
Nataka kulinganisha tafsiri uliyotoa ya neno imani na uhalisia wake katika matumizi ya hilo neno. Maana unaweza ukawa umetoa tafsiri kwa mtazamo wako kutokana na majadiliano ya humu tu.
 
Nataka kulinganisha tafsiri uliyotoa ya neno imani na uhalisia wake katika matumizi ya hilo neno. Maana unaweza ukawa umetoa tafsiri kwa mtazamo wako kutokana na majadiliano ya humu tu.

Kwani hapa tunajadili imani ya nini? Dini au?
 
Yesu alikufa akiwa na 33 yrs only....hilo unalizungumziaje mkuu..?
Au naye ali_mess up ndio maana kilimpitia kabla ya kufikia hiyo 70 yrs unayodai.

Jielimishe kabla ya kupost upupu hapa.
 
Kwahyo zile oxygen pump mahospitalin zinaendeshwa na mungu ndani yake

Mkuu oxyjen sio uhai, uhai umetoka kwa Mungu na mtu kuwa hai haitokani na oxyjen bali uhai uliondani yake toka kwa Mungu. Oxygen imetengenezwa na binadamu, ndio sababu huwa wanasema amewekewa oxygen "kumsaidia" so oxygen inasaidia na sio kwamba ndio uhai wenyewe... wataalamu wanakupa ufafanuzi zaidi.
 
Hee unasemaje??? Are u mentaly fit!!!....
 
Back
Top Bottom