Kifo hakipangwi na Mungu

Kifo hakipangwi na Mungu

Kwani hapa tunajadili imani ya nini? Dini au?
Hujui kinachojadiliwa hapa?wewe umeanza kusema hapahapa kwamba watu hawajui maana ya imani,ndiyo nilipotaka kujua hiyo maana ya imani,ukatoa tafsiri ya neno imani ila umeshindwa kutoa mfano hata mmoja na sasa unaona nipo nje ya mada baada ya kushindwa kutoa mifano.
 
Katika Waefeso 2:1-3 kuna picha kwa ajili yetu, ya mtu aliyekufa kiroho.

Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi; ambao zamani, sisi sote nasi tulienenda kati yao, katika tamaa za miili yetu, tulipoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia, tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira kama na hao wengine.
 
Kwa sababu hiyo BWANA wa majeshi asema hivi, ‘Tazama, nitawaadhibu watu hawa; vijana watakufa kwa upanga; wana wao na binti zao watakufa kwa njaa’ (Yeremia 11:22. Manenomepesi kukazia).

BWANA wa majeshi asema hivi, ‘Tazama, nitaleta juu yao upanga, na njaa, na tauni, nami nitawafanya kuwa kama tini mbovu zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu’ (Yeremia 29:17).

Mwanadamu! Nchi itakapofanya dhambi na kuniasi kwa kukosa, nikaunyosha mkono wangu juu yake na kulivunja tegemeo la chakula chake, na kuipelekea njaa, na kukatilia mbali mwanadamu na mnyama … (Ezekieli 14:13. Maneno mepesi kukazia).

Mlitazamia vingi, kumbe vikatokea vichache; tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha. Ni kwa sababu gani? Asema BWANA wa majeshi. Ni kwa sababu ya nyumba yangu inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu nyumbani kwake. Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake. Nami nikaita wakati wa joto uje juu ya nchi, na juu ya milima, na juu ya nafaka, na juu ya divai mpya, na juu ya mafuta, na juu ya kila kitu itoacho nchi, na juu ya wanadamu, na juu ya wanyama, na juu ya kazi zote za mikono (Hagai 1:9-11. Maneno mepesi kukazia).
 
Mkuu mjadala wetu ni huu Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Ukisoma content ya mistari ya kitabu kitakatifu utaona sababu Bwana wa Majeshi asema hivyo. Lakini Mungu hapangi kifo chini ya miaka 70.
 
Kuna mambo mengine wanadamu hatuna na hatutaweza kuwa na capacity ya kuyajua mpaka tutakapouona ufalme wa Baba
 
Unaweza kuonesha sehemu niliyojadili dini humu?

Mkuu kuna wengine mada hii wameichanganya na imani (Dini ), uwepo wa Mungu. Ndio maana nilijaribu kukumbusha tu! Mada yetu ni Mungu hapangi kifo chini ya miaka 70.
 
Huku kutazama video YouTube na kujitia tunapinga sana hoja za Kimungu kwa kujifanya wajuzi ni umbulula,
Nadhan mtu angeibuka na wazo hilo bila kusaidiwa kushikiwa akili zake angekuja na hoja za kimantiki ningemuona mwenye akili, hadi akili zenu mmeshikiwa,

Hoja za Kimungu hazipingwi kwa kuambiwa au kuona Fulani anapinga,

Mlipoletewa hoja za kimungu mwanzoni mlizikumbatia, leo mnaambiwa ni hoja chakavu mnachekelea, ni lini mtaacha utumwa wa kifikra, na bado mnajiona civilized!!!!

LORD JESUS COME TAKE ME.
 
Mkuu oxyjen sio uhai, uhai umetoka kwa Mungu na mtu kuwa hai haitokani na oxyjen bali uhai uliondani yake toka kwa Mungu. Oxygen imetengenezwa na binadamu, ndio sababu huwa wanasema amewekewa oxygen "kumsaidia" so oxygen inasaidia na sio kwamba ndio uhai wenyewe... wataalamu wanakupa ufafanuzi zaidi.

hewa in hitaji la kwanza kwa uhai wa binadamu kwa hiyo oxygen inauhai. Mtu hospitali anaposhindwa kupumua au kuvuta hewa hufa, ndio maana hupewa oxygen ili aendelee kuishi. kwa kusema hivyo sina maana kuwa oxygen ni Mungu.
 
Yesu alikufa akiwa na 33 yrs only....hilo unalizungumziaje mkuu..?
Au naye ali_mess up ndio maana kilimpitia kabla ya kufikia hiyo 70 yrs unayodai.

Jielimishe kabla ya kupost upupu hapa.

Mkuu nashukuru umeuliza swali zuri sana, Yesu alikuja na kusudi maarumu la kuokoa watu katika dhambi zao. Alipomaliza hiyo kazi alikufa kwa upendo wa mimi na wewe. Ni mtu gani mwenye upendo kama huu kutoa uhai wake kwa wengine= Yesu.
 
Jamani kifo kinasababishwa na mauti, na mauti ni roho inauwezo wakumvaa mtu naakatembea nayo hata mwezi ndio baadae hudhihirika jambo baya litakapo mpata ambalo litampelekea kifo, ugonjwa, ajali ect.
Kwa upande wangu siamini sana mambo ya mwilini kama ya rohoni, ninachoamini ulimwengu wa roho unanguvu kuliko wa mwilini, ni kweli mfumo wa maisha unaweza kutusababishia kupoteza uhai lakini kabla ya mfumo wa maisha kuna mfumo wa rohoni umeanza kwanza then ndio inatokea tabia Fulani mwini.
 
Mungu sliseme sababu wanadamu wana dhambi wataishi miaka 70 nawakiwa kwenye nguvu 80 lakini sio limit hiyo Mungu aliiona hiyo miaka ni michache sana kwa mwanadamu ndio maana kuna amri inasa uwaheshimu wazazi wako ili update baraka na miaka mungu duniani, Pia Yesu alikufa mapema kwa sababu ya dhambi za wanadamu inamaana aliubeba uovu wa wanadamu ndio maana kabla hajafa wakati anateswa alisema baba yangu baba yangu mbona umeniacha? Ni kwaajili ya dhambi alizozibeba. So kinachochangia mtu afe mapema pia ni uovu wa mtu ndio ninapoona 99% ni shetani.
 
Mkuu tupo pamoja Mungu hapangi kifo cha mtu miaka chini ya 70. Uovu wa mtu, tamaa za mtu, ushirikina na shetani husabadisa vifo.
 
hewa in hitaji la kwanza kwa uhai wa binadamu kwa hiyo oxygen inauhai. Mtu hospitali anaposhindwa kupumua au kuvuta hewa hufa, ndio maana hupewa oxygen ili aendelee kuishi. kwa kusema hivyo sina maana kuwa oxygen ni Mungu.

Ingekuwa oxyjen ni uhai basi watu wasingekufa wangewekewa oxyjen ili waendelee kuishi milele... oxyjen ni uhai bandia kama ambavyo watu huwekewa viungo bandia.
 
Go ahead.
U

Even better. Niombeee nife kesho. Nisije JF kujibu hii thread. Ili kuwepo na uwezo wa wote kuthibitisha.

Unaweza kufanya hivyo ili kuthibitisha uwepo wa mungu?

Samahani mkuu kiranga ila bora tu ungemuuliza muheshimiwa huyo eti hayo maombi yenyewe yatachukuwa mda gani mpaka kujibiwa.na anakuombea kwa mungu yupi. Isije kuwa majibu yatapatikana kwa imani hata miaka mia mbele.
Hahahaah keep on waiting ipo siku watakuja na uthibitisho huenda bado wanatafiti pia

Kiranga atasubiri sana .......
 
Samahani mkuu kiranga ila bora tu ungemuuliza muheshimiwa huyo eti hayo maombi yenyewe yatachukuwa mda gani mpaka kujibiwa.na anakuombea kwa mungu yupi. Isije kuwa majibu yatapatikana kwa imani hata miaka mia mbele.

Kiranga atasubiri sana .......
Nimempa siku moja kutimiza.

Kwa hiyo mpaka sasa kashashindwa.

Mungu wake ameshindwa kuniua, kwa sababu hayupo.
 
Nyie ndio hata maandiko matakatifu huwa hamsomi. Kifo kililetwa na wanadamu wenyewe as a result of insubordination. So ukisoma Kitabu cha Mwanzo 2:16-17 utaona Mungu anamuambia mwanadamu kwamba akila tunda la katikati hakika atakufa.
Wale walio kwenye utumishi wa umma wanaofahamu standing order zinasemaje watakubaliana na mimi kwamba Insubordination Adhabu yake ni summary dismissal,hakuna cha kuundiwa tume wala nini, basi na Mungu alifanya vivyo hivyo.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao insurbodination inawezekana?

Hakuweza kuumba ulimwengu ambao insurbodination haiwezekani?
 
Back
Top Bottom