S Sun is Sun JF-Expert Member Joined Mar 13, 2024 Posts 1,254 Reaction score 2,014 Jul 3, 2025 #1 Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 3, 2025 #2 Sun is Sun said: Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa. Click to expand... Uzikwe kwa kutengewa zege na matarumbeta,uzikwe uchi,uzikwe kwa kupambwa na manukato,haisaidii,Njia ya wote,ingawa hatuizoei!
Sun is Sun said: Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa. Click to expand... Uzikwe kwa kutengewa zege na matarumbeta,uzikwe uchi,uzikwe kwa kupambwa na manukato,haisaidii,Njia ya wote,ingawa hatuizoei!
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 15,331 Reaction score 22,307 Jul 3, 2025 #3 Kifo ni njia ya wote!
Von Dee JF-Expert Member Joined Apr 7, 2018 Posts 384 Reaction score 666 Jul 3, 2025 #4 leta mbwembwe za kila aina kwenye hii dunia ila jua lazima UTAKUFA. Kifo ndo kitu pekee kwa kiumbe hai ambacho ana uhakika lazima akutane nacho.
leta mbwembwe za kila aina kwenye hii dunia ila jua lazima UTAKUFA. Kifo ndo kitu pekee kwa kiumbe hai ambacho ana uhakika lazima akutane nacho.