Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ushuhuda wa hatariMama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.
Aliniambia amewahi kushuhudia zaidi ya Mara kumi wagonjwa wanatoa tabasamu wakifurahia malaika wakija kuwachukua huku wakisifia mji wanaokwenda ni mzuri sana, akazidi kuniambia utashangaa mgonjwa alikuwa Amalia maumivu makali ya ugonjwa Mara anabadilika anaanza kutabasamu na anakuwa kama anataka kupaa huku akiwasihi malaika wamchukue.
Na upande wa pili wanaokwenda sehemu mbaya ndio balaa bora niishie hapa
Mkuu nashukuru kwamba tuna mawazo yanayofanana kuhusu kifo ,nilishawahi kuja na bandiko hapa na kusema kwamba kama unajiuliza ukifa unaenda wapi basi jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi ?
Na ndio maana zilikuja theory nyingi zinazoelezea maisha ya kifo.
Pale tango pori linakolea wakati chungu.Mama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.
Aliniambia amewahi kushuhudia zaidi ya Mara kumi wagonjwa wanatoa tabasamu wakifurahia malaika wakija kuwachukua huku wakisifia mji wanaokwenda ni mzuri sana, akazidi kuniambia utashangaa mgonjwa alikuwa Amalia maumivu makali ya ugonjwa Mara anabadilika anaanza kutabasamu na anakuwa kama anataka kupaa huku akiwasihi malaika wamchukue.
Na upande wa pili wanaokwenda sehemu mbaya ndio balaa bora niishie hapa
Hayo maswali ndiyo yanafanya watu kuogopa kifoSioni haja ya kuogopa kifo mkuu Zero IQ , uliwahi kujiuliza ulipokua upo tumboni kwa mamayo ama kama umepitia (IVF) in-vitro fertilisation ulikua unajua unaenda wapi, ama uko wapi? Kama ulikua hujui don't bother yourself about death experience! Je, kama uta transcend na kuingia kwenye another womb?
je, kama kabla ya kuwa hapo ulipo uliwahi kuishi sema tu upo clouded na conscious mind na hujawahi enda beyond ujue kuna nini?
Mfano, budha kabla ya kuzaliwa anasema alikuwa ni tembo.. vipi kuhusu wewe?
Btw,
Maisha mazuri sio jumla ya miaka uloishi hapa duniani bali ni kwa kiasi gani ume serve the humanity, universe.. sio unaishi kama methusela wa kwenye biblia ya wakristo and yet hakufanya chochote kwa mungu wake.
within u all answers to ur questions resides. .
Start ur journey home brother.
Yaan we kama mimiyani mimi ninavyokiogopa kifo sitaki hata kukijadili.
Mbona wengine wakifa wanatisha Sana jamani kwaniniMama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.
Aliniambia amewahi kushuhudia zaidi ya Mara kumi wagonjwa wanatoa tabasamu wakifurahia malaika wakija kuwachukua huku wakisifia mji wanaokwenda ni mzuri sana, akazidi kuniambia utashangaa mgonjwa alikuwa Amalia maumivu makali ya ugonjwa Mara anabadilika anaanza kutabasamu na anakuwa kama anataka kupaa huku akiwasihi malaika wamchukue.
Na upande wa pili wanaokwenda sehemu mbaya ndio balaa bora niishie hapa
Sheikh wewe ni AHMADIYYA? Moto ni wa milele au ni muda (temporary) kwa fiqh za kisunni?Story ya kabla ya kuzaliwa ni ngumu mno kuitambua, kwa sababu "you came from nothingness to some thing" kwa kuwa huwezi kutoa tafsiri ya kitu kisichokuwepo hapo ndipo ugumu ulipo, na ukisoma Qur'an Allah amerejea hiyo hoja yako akiwaambia wale wanaopinga ufufuo kwamba haupo na ni kitu kisichowezekana, basi Allah anawajibu (sikumnmbuki maneno vyema),kwamba kama aliweza kutuumba atashindwaje kutufufua ilhali kuumba ni kugumu zaidi kuliko kufufua tena siku ya akhera katika maisha ya kiroho.
Ni hivi, mtu anapokufa roho yake inaingia kwenye "Barzakh" intermediate stage au kaburi la roho (hili ni tofauti na kaburi la mwili lile ambalo huwa tunazika miili ya wafu wetu).
Katika Barzakh roho zinakuwa katika aina fulani ya usingizi kama vile mtoto alivyokuwa katika tumbo la mama yake kabla hajazaliwa na ndani ya barzakh roho ina "undergo" mabadiliko kwa ajili ya kufufuliwa kuingia akhera kama jinsi mtoto anavyo undergo mabadiliko tumboni kabla hajazaliwa, katika Barzakh hapo watu wataanza kuonja pepo au moto kulingana na matendo uliyoyafanya hapa duniani, hatua ya mwisho ni ufufuo (roho kuzaliwa kutoka Barzakh).
Sasa tukifika Ahera, tunakuwa na miili ya roho tulizokuwa nazo ndani ya Barzakh,na ndani ya miili hiyo kunakuwa na roho iliyokuwa ndani ambayo ndiyo itakayokuwa answerable mbele ya hukumu (siku ya qiyama/siku ya hukumu).
Katika siku ya hukumu wale waovu watakwenda jehanamu na wale wema watakwenda peponi.
Unaposema siku maana yake sio siku kama hizi zetu (24hrs), siku wakati wa Ahera ni zama/era-- ni kipindi kirefu sana ukilinganisha na muda wetu huu.
Falsafa ya moto:-
Motoni ni kama Hospitalini na moto ni kama dawa ya kutafuna madhambi yaliyomo ndani ya roho za wakosefu na madhambi ni kama ugonjwa wa roho hivyo basi wakati watu wema wakiwepo peponi wakila raha na starehe na kumuabudu Mungu kwa hiyari, watu wa motoni wataunguzwa vikali (kulingana na madhambi waliyotenda) kwa muda mrefu lakini baada ya madhambi yao kwisha/kuungua basi Mungu atawaingiza mmoja mmoja peponi wakianza maisha ya peponi "at square one"--- huyo ndiye Mungu mpole, mkarimu, mwenye huruma mwen hekima anapanga anavyotaka kulingana na hekima zake.
Kuna mambo mengi yakueleza hapa lakini muda hautoshi.
Kuna hatua tatu za maisha yetu, hatua ya kwanza ni Duniani,ya pili ni Barzakh na tatu na ya mwisho na ya milele ni Akhera.
Mungu atuongoze kufanya mema yanayompendeza ili tuingie peponi tutakapofufuliwa baada ya kufa.
amin.
Mama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.
Aliniambia amewahi kushuhudia zaidi ya Mara kumi wagonjwa wanatoa tabasamu wakifurahia malaika wakija kuwachukua huku wakisifia mji wanaokwenda ni mzuri sana, akazidi kuniambia utashangaa mgonjwa alikuwa Amalia maumivu makali ya ugonjwa Mara anabadilika anaanza kutabasamu na anakuwa kama anataka kupaa huku akiwasihi malaika wamchukue.
Na upande wa pili wanaokwenda sehemu mbaya ndio balaa bora niishie hapa
bado tangawizi mkuu ..Mama yangu ni nurse muhimbili zaidi ya miaka 30 , aliwahi kuniambia Kwa experience yake ya kuwaona wagonjwa wakifariki aliniambia Kwa mtu anayekufa taratibu anajua wapi anaenda.