comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mganga wa kienyeji, wenzake wanne wakamatwa madai mauaji wa mwalimu Musoma
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya mwalimu Monica Patrick (31) mkazi wa Simiyu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha baadaye mwili wake kupatikana...