Kifo ni kifo na ukifa hufi tena ila yule ambae bado. Hata hivyo tofauti ipo kwenye umekuje, umefia wapi na ulizikwaje.
Kazi yetu wote ni kupambana ili watu wafe kwa namna tutayoikubali na sababu tunazozikubali pia kijamii, kisayansi, na kidini.
Malipo stahili ni hapahapa kwetu na palepale kwao.Familia ya Kibao: Mengine ataamua Allah
Kwa akili Yako Unadhani wakija Scotland Yard wataanza na Ally Mohamed Kibao huyu wa juzi tu? ๐Malipo stahili ni hapahapa kwetu na palepale kwao.
Ni ujinga mtu kusema ufanyike uchunguzi wa kimataifa ili kuchunguza mtu mmoja amekufaje. Hao wachunguzi watatoka nchi gani ambako kwao hakuna wanaouawa kama kwetu? Ziko nchi kubwa duniani ambazo hata Marais wao wameuwa kianaaina lakini hawakuitisha uchunguzi wa kimataifa sembuse sisi?
Ni kumwachia Mungu tu, maana watakuwa wamekufa mashahidi wa kisiasa, kidini au kijamii.
Kwanini Scotland Yard hawakwenda Marekani kusaidia nani hasa anataka kumuua mgombea? Kwanini aliyemuaa JF Kennedy hajapatikana hadi Leo? Scotland Yard hawahitaki huko? Huwezi kumpa fisi kazi ya kumtafuta mwizi wa mbuzi wako.Kwa akili Yako Unadhani wakija Scotland Yard wataanza na Ally Mohamed Kibao huyu wa juzi tu? ๐
Wale wataanzia mbali hata miaka 20 nyuma, waulize Kenya Mauaji ya Robert Ouko ๐ผ
Virus is detectedKarspersky
Sisi watu wa disasters preparedness and management tunajua kuwa likitokea wimbi baya la machafuko lazima muwe makini sana katika kushuhulika na janga hilo. Lazima kuwe na uratibu makini wa kila kitu kinachohitajika ili kuepusha kusababisha tukio lingine baya zaidi.Virus is detected
Alisikika akisema, usitufundishe kuongoza nchiSisi watu wa disasters preparedness and management tunajua kuwa likitokea wimbi baya la machafuko lazima muwe makini sana katika kushuhulika na janga hilo. Lazima kuwe na uratibu makini wa kila kitu kinachohitajika ili kuepusha kusababisha tukio lingine baya zaidi.
Tuepuke mihemko itakayosababisha kumpa muathilika blanket badala ya shuka na viatu badala ya maji ya kunywa.
Kwanza nani kamuua Mzee Kibao? Alete ushahidi usioacha mashaka