Kifo ni nini?

Kifo ni nini?

Unapofumaniwa na more wa yule jamaa anavunjaga matofali uwanjani
 
Kifo ni palee... ni palee... ah ngoja kwanza nikachungulie Kibiti maana nimesikia PAA!...
 
Kifo ni pale umemaliza kupewa adhabu na mjeshi afu anakwambia nenda na pikipiki yako,unasogea mbele kidgo unamtukana eti ni ms###,unawasha pikipiki haiwaki

Hahahaha Hapo utaolewa bila posa
 
Back
Top Bottom