Kifua, ct scan, mapafu

Kifua, ct scan, mapafu

said reuben

Member
Joined
Dec 22, 2018
Posts
62
Reaction score
28
Nimefanya vipimo vyote, tumia dawa zote za kuhusu tatizo na kifua kuuma upande wa kulia kwa mda Sasa lakin sina kuanzia, ecg echo, damu kupima mgonjwa mengine kama dengu, maralia yote sina.. Nataka kujua kipimo cha kucheck mapafu,
 
Rudia Echo,Ecg na kipimo cha damu Troponin sehemu nyingine. Vikiwa negative basi tafuta dawa inaitwa Ascard 75mg od 7/7,
 
Back
Top Bottom