King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Alifanyia Ukumbi gani?Hujamuona wewe peke yako...Juzi bella kafanya show kabambe na ferre gola tena hapahapa bongo....
Umofia kwenu wana JF,
Ni siku nyingi sana sijamsikia christian bella kwenye anga za burudani au akifanya live interview kwa radio/TV,katika kufatilia nimeambiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa "kifua".
Ugonjwa wa Kifua na moyo ni moja ya magonjwa ambayo yanawasumbua sana watu maarufu.Nampa pole CB,Get well soon.
From,
MINJINGU.
Serena hotel kuazimisha Uhuru wa congoAlifanyia Ukumbi gani?
Sipo DSM so siwezi kuonana naye live ila kipindi cha nyuma ilikuwa haipiti siku mbili au tatu lazima utamsikia kwa hewa(TV/Radio) akifanya interview au akizungumziwa kuhusu show anazotarajia kufanya lakini miezi kama miwili mitatu sijamsikia kabisa,lakini haiondoi ukweli kwamba alikuwa kimya alikuwa anasumuliwa na ugonjwa wa "Kifua".Wewe Ndio hujamuona
Congo ilipata Uhuru June 30 mwaka 1960 kwahiyo waliadhimisha kabla ya Uhuru wenyewe? Walifanya Lini hiyo Show?Serena hotel kuazimisha Uhuru wa congo
leo anafanya show pale KIng solomon na kiingilio ni 30000Alifanyia Ukumbi gani?
serena hotel kwa kiingilio cha laki mbili na nusu taslimu pesa za kitanzaniaAlifanyia Ukumbi gani?
POMBE KALI kumbe inasababisha ugonjwa wa kifua??Pole sana bella.Wapunguze pombe kali pia asee hawa wasanii wetu
Mkuu naona kama hiyo ya kusumbuliwa na ugonjwa wa "kifua" ndio iliyokupendeza,si ndio ....??Sipo DSM so siwezi kuonana naye live ila kipindi cha nyuma ilikuwa haipiti siku mbili au tatu lazima utamsikia kwa hewa(TV/Radio) akifanya interview au akizungumziwa kuhusu show anazotarajia kufanya lakini miezi kama miwili mitatu sijamsikia kabisa,lakini haiondoi ukweli kwamba alikuwa kimya alikuwa anasumuliwa na ugonjwa wa "Kifua".
Hapana Mkuu,Muzee ya masauti yupo kimya sana,hasikiki kwa hewa.Mkuu naona kama hiyo ya kusumbuliwa na ugonjwa wa "kifua" ndio iliyokupendeza,si ndio ....??
Alifanyia Ukumbi gani?
Nilikuwa Minjingu.Kumbe si mfuatiliaji wa muziki alafu unakuja kumpa pole mtu usiyejuwa anafanya nini hapa mjini. Dudubaya a.k.a. King Kong III unabugia madudu au unavuta ile sigara kali? CB alifanya show ya nguvu na Ferre pale Serena Hotel, wewe ulikuwa wapi?
Shule zinafunguliwa kesho, utupishe na upumbav wakoNilikuwa Minjingu.