"Kifua" Kinamsumbua Christian Bella

"Kifua" Kinamsumbua Christian Bella

Umofia kwenu wana JF,

Ni siku nyingi sana sijamsikia christian bella kwenye anga za burudani au akifanya live interview kwa radio/TV,katika kufatilia nimeambiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa "kifua".

Ugonjwa wa Kifua na moyo ni moja ya magonjwa ambayo yanawasumbua sana watu maarufu.Nampa pole CB,Get well soon.

From,
MINJINGU.
Mkuu upo Minjingu au ni swagga tu Mzee? Nilishawahi kuish pande hzo mkuu utotoni
 
Kama umemiss kumsikia jiandae atakua na show siku ya kumbukumbu ya uhuru wa kongo drc itafanyka selena hotel normal seat laki 4 meza milion 2 na nusu,naomba kuwasilisha
 
Umofia kwenu wana JF,

Ni siku nyingi sana sijamsikia christian bella kwenye anga za burudani au akifanya live interview kwa radio/TV,katika kufatilia nimeambiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa "kifua".

Ugonjwa wa Kifua na moyo ni moja ya magonjwa ambayo yanawasumbua sana watu maarufu.Nampa pole CB,Get well soon.

From,
MINJINGU.
Ushamba mzigo

Juzi BC kapiga show
 
Sasa unasema haupo Dar na huna namna ya kuonana naye ana kwa ana wala kujua anafanya nini...lakini cha ajabu umejua kuwa anasumbuliwa na kifua.
 
Kama kweli apewe pole zake, huyu ni zaidi ya wale walioko Dodoma kabisa, at least mambo yake tunayaona na kufurahia kwa kweli...
 
Back
Top Bottom