"Kifua" Kinamsumbua Christian Bella

Mkuu upo Minjingu au ni swagga tu Mzee? Nilishawahi kuish pande hzo mkuu utotoni
 
Kama umemiss kumsikia jiandae atakua na show siku ya kumbukumbu ya uhuru wa kongo drc itafanyka selena hotel normal seat laki 4 meza milion 2 na nusu,naomba kuwasilisha
 
Ushamba mzigo

Juzi BC kapiga show
 
Sasa unasema haupo Dar na huna namna ya kuonana naye ana kwa ana wala kujua anafanya nini...lakini cha ajabu umejua kuwa anasumbuliwa na kifua.
 
Kama kweli apewe pole zake, huyu ni zaidi ya wale walioko Dodoma kabisa, at least mambo yake tunayaona na kufurahia kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…