The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!!
kwa nini ukiwa kanisani unaingia JF?Binafsi sipendi..ngoja tusubiri wanaopenda watuambie
hahaha,ndo nimetoka ya kwanza..fanya ile mambo basi plzkwa nini ukiwa kanisani unaingia JF?
ile mambo ndo nasoma ramani yake.....ni muda mrefu ujue....hahaha,ndo nimetoka ya kwanza..fanya ile mambo basi plz
wacha niskilizie...hivi kericho ni kifua kipana eee???ile mambo ndo nasoma ramani yake.....ni muda mrefu ujue....
hahaha...hii yako Faiza ni kaliBinafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
wacha niskilizie...hivi kericho ni kifua kipana eee???
mimi n mmojawapo wa wenye vifua vipana, yaan haswa, na nilishapitia jimu kidogo na mazoezi mengi ya fitness. kutokana na mwili wangu, mazoezi yalichokoza nikajikuta nina kifua kama ubao. ni kuzuri actually huwa nashukuru Mungu. faida kubwa sana ninayoipata kwenye kifua changu kipana, nikilala na mke wangu lala hii ya kawaida sio unyumba, analala kabisa kwenye kifua changu, yaani kichwa chake anakiweka katikati ya kifua changu na anaweza akiamua akafanya kama mto, halafu mimi namkumbatia kama mtoto palepale kifuani na usingizi mnono unakuja hadi kesho. pili, wakati wa ku hug, ninafurahi kumweka katikati ya mwili wangu na kujisikia kama vile nimemwingiza kabisa kwenye moyo wangu pale kifuani....vilevile, mara zote pumzi yangu ni nzuri kinoma...naweza kwenda masafa yoyote hadi mwenzangu anafloat, akisema basi inatosha kwa leo, ndo namhurumia...ila kama yeye akitaka, tunaweza tukakesha kama kesho hatuendi kazini kama vile siku za jumamosi na ijumaa....NAONGEA UKWELI wala si ushabiki..
kakifua kembambaaaa, nadhani wanawake huwa wanajisikia si vizuri sana, mfano wa hugging, mwanamke akawa na matiti makubwaaa, kifua kipana, akikuhug mwanaume mwembemba na mwenye kakifua kadogo, anakujaa ni kama amekufunika vile...wewe unakuwa ndani so yeye anaonekana..the one atakayekuwa hugged ni mwanaume na si mwanamke kwa hapo..vilevile, pumzi nahisi itakuwa ndogo...pigeni mazoezi jamanii...panueni vifua vyenu kwafaida yenu na ya wapenzi wenu. kwakawaida watu wengi wenye vifua vipana ni wana mazoezi, ambao mishipa yao ya damu imepanuka na damu inapenya vizuriiii na kwa wingi jambo linalofanya hata kule kunako kusimama ngangari zaidi na mambo yanaenda freshssss.
Binafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
Hii nayo kali!!!!Binafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
Hahahahahaaa wewe ni mwanamke wa kipekee, makalio ya mwanaume ya nini? mie napenda mwanaume pasi coz makalio anaweza asiwe na kitu cha kutosha, ila faiza yako nimeipenda hahahahahaaaaaBinafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
Mie napenda mwembamba aisee, mnemne mwenye kifua nahisi tukiwa faragha inakuwa kama vita vile akuuu , napenda mwembamba wa kawaidamimi n mmojawapo wa wenye vifua vipana, yaan haswa, na nilishapitia jimu kidogo na mazoezi mengi ya fitness. kutokana na mwili wangu, mazoezi yalichokoza nikajikuta nina kifua kama ubao. ni kuzuri actually huwa nashukuru Mungu. faida kubwa sana ninayoipata kwenye kifua changu kipana, nikilala na mke wangu lala hii ya kawaida sio unyumba, analala kabisa kwenye kifua changu, yaani kichwa chake anakiweka katikati ya kifua changu na anaweza akiamua akafanya kama mto, halafu mimi namkumbatia kama mtoto palepale kifuani na usingizi mnono unakuja hadi kesho. pili, wakati wa ku hug, ninafurahi kumweka katikati ya mwili wangu na kujisikia kama vile nimemwingiza kabisa kwenye moyo wangu pale kifuani....vilevile, mara zote pumzi yangu ni nzuri kinoma...naweza kwenda masafa yoyote hadi mwenzangu anafloat, akisema basi inatosha kwa leo, ndo namhurumia...ila kama yeye akitaka, tunaweza tukakesha kama kesho hatuendi kazini kama vile siku za jumamosi na ijumaa....NAONGEA UKWELI wala si ushabiki..
kakifua kembambaaaa, nadhani wanawake huwa wanajisikia si vizuri sana, mfano wa hugging, mwanamke akawa na matiti makubwaaa, kifua kipana, akikuhug mwanaume mwembemba na mwenye kakifua kadogo, anakujaa ni kama amekufunika vile...wewe unakuwa ndani so yeye anaonekana..the one atakayekuwa hugged ni mwanaume na si mwanamke kwa hapo..vilevile, pumzi nahisi itakuwa ndogo...pigeni mazoezi jamanii...panueni vifua vyenu kwafaida yenu na ya wapenzi wenu. kwakawaida watu wengi wenye vifua vipana ni wana mazoezi, ambao mishipa yao ya damu imepanuka na damu inapenya vizuriiii na kwa wingi jambo linalofanya hata kule kunako kusimama ngangari zaidi na mambo yanaenda freshssss.