mimi n mmojawapo wa wenye vifua vipana, yaan haswa, na nilishapitia jimu kidogo na mazoezi mengi ya fitness. kutokana na mwili wangu, mazoezi yalichokoza nikajikuta nina kifua kama ubao. ni kuzuri actually huwa nashukuru Mungu. faida kubwa sana ninayoipata kwenye kifua changu kipana, nikilala na mke wangu lala hii ya kawaida sio unyumba, analala kabisa kwenye kifua changu, yaani kichwa chake anakiweka katikati ya kifua changu na anaweza akiamua akafanya kama mto, halafu mimi namkumbatia kama mtoto palepale kifuani na usingizi mnono unakuja hadi kesho. pili, wakati wa ku hug, ninafurahi kumweka katikati ya mwili wangu na kujisikia kama vile nimemwingiza kabisa kwenye moyo wangu pale kifuani....vilevile, mara zote pumzi yangu ni nzuri kinoma...naweza kwenda masafa yoyote hadi mwenzangu anafloat, akisema basi inatosha kwa leo, ndo namhurumia...ila kama yeye akitaka, tunaweza tukakesha kama kesho hatuendi kazini kama vile siku za jumamosi na ijumaa....NAONGEA UKWELI wala si ushabiki..
kakifua kembambaaaa, nadhani wanawake huwa wanajisikia si vizuri sana, mfano wa hugging, mwanamke akawa na matiti makubwaaa, kifua kipana, akikuhug mwanaume mwembemba na mwenye kakifua kadogo, anakujaa ni kama amekufunika vile...wewe unakuwa ndani so yeye anaonekana..the one atakayekuwa hugged ni mwanaume na si mwanamke kwa hapo..vilevile, pumzi nahisi itakuwa ndogo...pigeni mazoezi jamanii...panueni vifua vyenu kwafaida yenu na ya wapenzi wenu. kwakawaida watu wengi wenye vifua vipana ni wana mazoezi, ambao mishipa yao ya damu imepanuka na damu inapenya vizuriiii na kwa wingi jambo linalofanya hata kule kunako kusimama ngangari zaidi na mambo yanaenda freshssss.