Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

Sasa youe excellency mbona unaanza kujisifu au nawe ni wa UDOM nini lol!
 
shem ...... tulia....wacha kidege kinase kwanza
Preta imesimama sasa panda, ukifika kileleni nakuacha urudi na Uporoto01, ila usiogope ukubwa ni umbo tu haiumiok, jishike vizuri naweka Gear kubwa, hold on firmly, here we go, gooo, gooooo puuuuuuhhhh!!!!!!!!
 
Preta imesimama sasa panda, ukifika kileleni nakuacha urudi na Uporoto01, ila usiogope ukubwa ni umbo tu haiumiok, jishike vizuri naweka Gear kubwa, hold on firmly, here we go, gooo, gooooo puuuuuuhhhh!!!!!!!!

hujatulia wewe
 
Gay masculine closeted.wanaume wengi wazungu wanaoa waafrika or Asian as a cover up.Niliolewana mzungu ndi nilijua yote hayo .kuvaa mashati ya kubana ni mojA ya sigh ya mt gay anayetaka wanaume wamtAmbueTE=BUGUMYA;2178775]Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!![/QUOTE]
 
Hapo nakubalian ana wewe kabisa, kabla sija kwenda USA sikua na ona kuwa na six pax ni big del kwanza nilikua si notice kabisa, ila siku hizi najitesa sana kupiga situps ili zisiondoke. yote sababu ya umagharibi tunao iga.

dah..kumbe USA umeenda majuzi....no wonder unashangaa hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…