Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

Kifua kipana/kikubwa kwa mwanaume kinawavutia nini akina dada?

6.6 without shoes Preta utajua is a best height all over the world, but hii picture kidogo haifanani na mm, i have arabic hair ( somali hair) with long nose, but skin kidogo is ok, u know wairaqw wana light skin, & a nice, nice face, just like Obama, ukiniona utasema somali 100% but i am ur bro. Thanks
Sasa youe excellency mbona unaanza kujisifu au nawe ni wa UDOM nini lol!
 
shem ...... tulia....wacha kidege kinase kwanza
Preta imesimama sasa panda, ukifika kileleni nakuacha urudi na Uporoto01, ila usiogope ukubwa ni umbo tu haiumiok, jishike vizuri naweka Gear kubwa, hold on firmly, here we go, gooo, gooooo puuuuuuhhhh!!!!!!!!
 
Preta imesimama sasa panda, ukifika kileleni nakuacha urudi na Uporoto01, ila usiogope ukubwa ni umbo tu haiumiok, jishike vizuri naweka Gear kubwa, hold on firmly, here we go, gooo, gooooo puuuuuuhhhh!!!!!!!!

hujatulia wewe
 
Gay masculine closeted.wanaume wengi wazungu wanaoa waafrika or Asian as a cover up.Niliolewana mzungu ndi nilijua yote hayo .kuvaa mashati ya kubana ni mojA ya sigh ya mt gay anayetaka wanaume wamtAmbueTE=BUGUMYA;2178775]Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!![/QUOTE]
 
Hapo nakubalian ana wewe kabisa, kabla sija kwenda USA sikua na ona kuwa na six pax ni big del kwanza nilikua si notice kabisa, ila siku hizi najitesa sana kupiga situps ili zisiondoke. yote sababu ya umagharibi tunao iga.

dah..kumbe USA umeenda majuzi....no wonder unashangaa hayo mambo
 
Back
Top Bottom