FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hahahahahaaa wewe ni mwanamke wa kipekee, makalio ya mwanaume ya nini? mie napenda mwanaume pasi coz makalio anaweza asiwe na kitu cha kutosha, ila faiza yako nimeipenda hahahahahaaaaa
Wao si wanajidai wanapenda makalio? na mie (kabla ya kutubu) nilikuwa nikiyapata siyaachii nayachezea inavyotakiwa haswa. Aaah babu nipitwe? Eeeh nyie watoto, msiache tukasema mengi humu, Toba ya Raabi