Kifua kubana kwa mjamzito, tatizo ni lipi?

Kifua kubana kwa mjamzito, tatizo ni lipi?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
Habari ya jioni hii wakuu,

Naomba ushauri na mchango wa mawazo. Ninaujauzito wa miezi 6, niimepatwa na ugonjwa wa kifua kubana na ninakohoa sana. Sijawahi kubanwa kifua kabla. nateseka sana hasa usiku.

Wiki iliopita kilibana sana, nikaenda hospital wakanichoma sindano za kwenye mshipa, nikapata nafuu kidogo, ila baada ya siku kama mbili kikaanza tena.

Natumia salbutamo kinapobana, nimekunywa dozi ya anthromysin azuma ,dozi mara 2 sioni ahueni.

Naomba mwenye ushauri au msaada wowote anisaidie naingiwa hofu ikifika kipindi cha kujifungua itakueaje.
 
Wahi hospitali,

fanya vipimo vya damu,. Full Blood Picture kuangalia Cholestrol na vitu vingine kwenye damu,.

Pia fanya kipimo cha moyo,. E.C.G kuangalia moyo kama unafanya kazi inavyotakiwa!!

Pole,....
 
asante sana chakii kwa ushauri mkuu, nitafanya hvyo tena kesho asbh. ntaleta feedback
kaka
 
Pole jamani Ngoja wataalam wa afya waje kukupa ushauri zaidi
 
Sasa wewe unajimezea vidonge utauwa mtoto au kumzaa mtoto na ulemavu.kifua kinabana kivipi? Una athma,mtoto kakuelemea tumboni? Au mtoto kakaa vibaya? Nenda hosptl kubwa utakuwa ulienda dispensary wewe.
 
niko Morogoro nilienda agakan hosptl. nikachomwa cndano za mishipa basi. wataalam naomba mnisaidie natakiwa kufanyiwa check up ya nn. Albosg cjui.nikijibu nn kwa maswali yk maana cjawah umwa athma jap baadhi ya madocta wanasema ni allegic condition sababu ya ujauzito
 
Sasa kama ushaambiwa ni alej unahangaika nini? Vumilia, Tulia, kula vizuri,mzee nae awe anaongeza njia taratiibu ili jamaa siku apite kirahisi.
 
Back
Top Bottom