bila shaka hiyo erythromycin ni ile dawa ya unga unachanganya na maji! km ndio hiyo basi tumia kwnz hiyo mpk iishe kama sijakosea ni dozi ya siku 7,ni dawa nzuri sana ya kikohozi kwa watoto.Nina ushuhuda mzuri ktk hiyo dawa sababu mtt wangu nae alipata hiyo shidaInhale ndio dawa gani,nimekwenda hospitali wamempa erythromycin
Hiyo ni antibiotic kama ana infectionInhale ndio dawa gani,nimekwenda hospitali wamempa erythromycin
Msaada wenu ma Doctors,mwanangu wa mwaka 1.5 aasumbuliwa na kifua yaani sija lala usiku ni kifua kina dalili ya kifua cha pumu,kwani akipata unafuu na kulala kidogo unakisikia kwa mbali kama kiji mluzi.Msaada wenu jamani nini tiba yake au ushauri wenu zaidi,niko Daslam
Kweli unaweza ukawa sehemu ya statistics, SIDS inaweza ikatokea na ukalia na kusaga meno.Hospital haraka sana Mkuu.
Asante sana kiongozi ngoja niitumie ila kama leo usiku hali itakuwa hivii kama leo,nitampeleke Hospitalbila shaka hiyo erythromycin ni ile dawa ya unga unachanganya na maji! km ndio hiyo basi tumia kwnz hiyo mpk iishe kama sijakosea ni dozi ya siku 7,ni dawa nzuri sana ya kikohozi kwa watoto.Nina ushuhuda mzuri ktk hiyo dawa sababu mtt wangu nae alipata hiyo shida
sawa..mpe pole mtoto😊Asante sana kiongozi ngoja niitumie ila kama leo usiku hali itakuwa hivii kama leo,nitampeleke Hospital