Osmokalu
Senior Member
- Nov 13, 2015
- 186
- 148
Msaada wenu ma Doctors,mwanangu wa mwaka 1.5 aasumbuliwa na kifua yaani sija lala usiku ni kifua kina dalili ya kifua cha pumu,kwani akipata unafuu na kulala kidogo unakisikia kwa mbali kama kiji mluzi.Msaada wenu jamani nini tiba yake au ushauri wenu zaidi,niko Daslam