kifua

kifua

magroup

New Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Jaman naomben mnisaidie dawa ya kifua ni ipi kwasababu kifua kinanisumbua na pia nakohoa sana
 
Jaman naomben mnisaidie dawa ya kifua ni ipi kwasababu kifua kinanisumbua na pia nakohoa sana
Pole sana!!
Chukua yai bichi(la kuku wetu sio wa kuku wao) likoroge na magadi kidogo then meza, do this like a doze of every two OR three times in a day!!
Usitegemee majibu ya haraka saaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
Hope utapona kama kifua chako ni cha kawaida tu, sio vile vya india!!!!
Again pole na kifua!!!!
Ahsante!!
 
Pia unaweza tumia asali mbichi kijiko kikubwa mara tatu kwa siku kwa wiki mbili.Kikohozi kinapotea
 
Nakushauri uende hospitalini kucheki afya na kuweza kuelewa chanzo cha tatizo na pia kuhusu tiba
 
Nenda hospitali kesho na mueleze daktari matatizo yako yote, na hakika utapona. Hapa kuna kunyweshana mikojo ya asubuhi na vitunguu saumu.
 
Pole sana!!
Chukua yai bichi(la kuku wetu sio wa kuku wao) likoroge na magadi kidogo then meza, do this like a doze of every two OR three times in a day!!
Usitegemee majibu ya haraka saaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
Hope utapona kama kifua chako ni cha kawaida tu, sio vile vya india!!!!
Again pole na kifua!!!!
Ahsante!!

Ni X ray na Angaza kama negative then labda test ya allergy!!! vipimo kwanza tusiwe waganga wa kienyeji mwisho utaambiwa tafuta mkojo wa simba jike anayenyonyesha
 
Ni X ray na Angaza kama negative then labda test ya allergy!!! vipimo kwanza tusiwe waganga wa kienyeji mwisho utaambiwa tafuta mkojo wa simba jike anayenyonyesha

Ni kweli kabisa, ila pia cha kufahamu ni haya mawili makubwa mbali na mengine
1. binadamu walianza kujitibu kwa njia za asili kabla ya dawa za kisayansi, hata hivyo bado tiba ya asili imeonyesha mafanikio makubwa sambamba na tiba ya kisayansi
2. tiba za kisayansi chimbuko lake laweza kuchangiwa kwa kiasi kikubwa sana na tiba za asili

Tusipuuze saaaaaana maana tiba za asili hata hazina viwango tofauti tofauti za ubora but hz za kisayansi zina viwango tofauti tofauti sana, thus why wakuta leo dawa aina ya ALU inatibu malaria lakn kesho(i mean some years later) haitibu tena malaria(ingawaje hii huchangiwa zaidi na immune system ya mwili wa kiumbe as it can be affected as the world climate keep on changing)
Shukran sana!!
 
Back
Top Bottom