Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana!!Jaman naomben mnisaidie dawa ya kifua ni ipi kwasababu kifua kinanisumbua na pia nakohoa sana
Pole sana!!
Chukua yai bichi(la kuku wetu sio wa kuku wao) likoroge na magadi kidogo then meza, do this like a doze of every two OR three times in a day!!
Usitegemee majibu ya haraka saaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!
Hope utapona kama kifua chako ni cha kawaida tu, sio vile vya india!!!!
Again pole na kifua!!!!
Ahsante!!
Ni X ray na Angaza kama negative then labda test ya allergy!!! vipimo kwanza tusiwe waganga wa kienyeji mwisho utaambiwa tafuta mkojo wa simba jike anayenyonyesha