Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Mgoni tulia kwanza umeshavunja ndoa ya watu.Wee ni boya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mgoni tulia kwanza umeshavunja ndoa ya watu.
Ntakuletea mrejesho ntakachomfanya mgoni mwezioWee ni boya
Ntakuletea mrejesho ntakachomfanya mgoni mwezioWee ni boya
Mambo yameshakuwa mengi watu wanakabana badala ugombelezee unatuuliza maswali.Binadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu 😠😠😠
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
Baba tumia hekima waliokutangulia kufanya malipizi wapo jera watoto wao kwa sasa ni mizigo kwa ndugu na jamaa.Ntakuletea mrejesho ntakachomfanya mgoni mwezio
Nitawafundisha adabu we tuliaBinadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu 😠😠😠
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
Bora niteseke jela kuliko jinsi nnavyoumia moyoniBaba tumia hekima waliokutangulia kufanya malipizi wapo jera watoto wao kwa sasa ni mizigo kwa ndugu na jamaa.
Mazoea ndio chanzo cha yoteBinadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu [emoji34][emoji34][emoji34]
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
Mgoni wako huyu hapa wala usimcheleweshe,Wee ni boya
Ukijifikiria wewe peke yako ukawasahau watoto ambao maskini wala hawana taarifa kama kuna mtu kachepuka,Bora niteseke jela kuliko jinsi nnavyoumia moyoni
Yes. Kanunue ili uzidi kuyafupisha kama umeona hayana faida.Kuna muda nahisi ni bora kununua mbususu na kuenjoy maisha kuliko kupeana stress na wanawake, maisha yenyewe mafupi haya ..