Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

We ni boya huna cha kumfanya huyo mwamba wenye uwezo huwa wanapiga mabomu yao kimyakimya Sasa akipata huu ujumbe si ndo anajipanga anakufanyia kweli
 
Nimesali saana kukiondoa lakini wanakirudisha kwa nguvu sa nifanyeje?
Wewe ni member wa muda mrefu sana.

2015 ni muda sana.

Kwa ulivyoandika it seems unajua unachokiandika na huenda walengwa wapo humu.

Hebu tushirikishe mkasa wako. Shida nini hasa.

Sometime kutoa yaliyo moyoni kunaponya. Sababu hao ukiwaumiza na hata ukifanikiwa kuwaondoa kabisa duniani utaishi maisha gani?

It seems wewe ni Baba, kwanini usiwaze future ya watoto wako? Kuna wanawake so damn stupid. Labda lengo lao hasa ni kukuondoa kwenye ramani mfano ufungwe ili wao wabaki na raha za dunia.

Two wrongs don't make one right. You will never heal by revenge. Think it over.
 
Kuwa makini sana Mkuu. Chagua kwa busara.

Sawa, mgoni wako unaweza kumfanyia kitu mbaya. Baada ya hapo unakamatwa na kuswekwa jela.

Utaozea huko, huku unamegwa na wahuni wa huko gerezani. Nyuma unawaacha watoto wanateseka maisha yao yote.

Kupuuzia ni silaha yenye thamani. Let go. Au vinginevyo, kamfanyizie mgoni wako bila kuacha traces zozote za kushtukiwa. Kitu ambacho ni ngumu sana.

Samehe kaka. Spend your life with your kids, karma will work on your behalf.
 
Yes. Kanunue ili uzidi kuyafupisha kama umeona hayana faida.
Hivi anaye nunua mbususu na kuenjoy maisha bila stress za kipuuzi na yule anaye teseka kwa stress za kugongewa ni yupi Anaya fupisha maisha yake ? .. wanawake wameumbwa na roho ya kipekee sana, na ukiwa dhaifu wanaweza kukuharibia maisha jumla ..
 
Hivi anaye nunua mbususu na kuenjoy maisha bila stress za kipuuzi na yule anaye teseka kwa stress za kugongewa ni yupi Anaya fupisha maisha yake ? .. wanawake wameumbwa na roho ya kipekee sana, na ukiwa dhaifu wanaweza kukuharibia maisha jumla ..
Man, its up to you, like really.

Choose the kind of woman you think suits you.

Utavuna ulichopanda.

Kama unapiga tungi unaopoa wanawake ulevini basi those are the women of your choice.
 
Dogo pole sana. Jitahidi kutuliza akili.
Jizuie kufanya hayo unayoyawaza bado una mda wa kuenjoy maisha sana tu kuliko unavyodhani.
Mbele una baraka nyingi kama utamwachia Mungu.
Mungu akusaidie.
Kila nikitulia situliziki nadhani Hivi ndo inatakiwa
 
Back
Top Bottom