Kifuatacho baada ya Magufuli!

Kifuatacho baada ya Magufuli!

Ngaliwe

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
164
Reaction score
374
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.

Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa aliyoifanya Rais Magufuli kwa takribani mika sita na kubadilisha kabisa Tanzania, nini kitafuata baada ya kundoka kwake ni agenda muhimu kwa mustakabali wa taifa.

Mamilioni ya wananchi waliotokwa na machozi na wengine kutopata usingizi siku walipotangaziwa habari cha kifo chake, waliojipanga barabara na kujaa viwajani toka Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na baadaye njia nzima toka Mwanza mpaka Chato, vilio, kuzimia na kila aina ya masikito makubwa yalikuwa yanatuma ujumbe mmoja tu, Rais Magufuli alikuwa kweli rais wa wanyonge, aliwakuwa rais aliyegusa maisha yao kwa karibu sana.

Pamoja na kumlilia kipenzi chao, kilio na majonzi yale yalibeba ujumbe mmoja muhimu na mahsusi, nini itakuwa hatma yao, nini hatma ya Tanzania. Na swali hili linajengwa siyo kwa kwa wasiwasi wa kuingiakatika machafuko, hapana, walau katika hilo Tanzania tumevuka mbali.

Msingi wa swali hilo ulikuwa katika msingi wa ustawi wa watu, hasa waanchi wanyonge ambao miaka sita ya Rais Magufuli wameshuhudia ikigusa maisha yao, katika afya, elimu, usafiri, biashara na karibu katika kila jambo kwenye maisha yao.

Rais alikuwa ni kama baba wa kila familia moja moja, kuondoka kwake siyo tu wanaona hawana rais, lakini kwa jinsi alivyogusa maisha yao kwa kuondoa dhuluma, kunyayaswa na wenye pesa, wanajikuta njiapanda, baada ya baba kuondoka nani tena atakuwa mlinzi wa maslahi yao kama familia, kama taifa, nani atawalinda dhidi ya uhuni na uharamia wa wenye pesa kwenye viwanja vyao, mashamba yao, na ukandamizwaji mwingine wa haki zao.

Haya yote ni kazi anayopaswa kujitwishwa Rais Samia Suluhu Hassan, kama alivyosema mweyewe jiji Dodoma kwamba amekuwa mwanafunzi makini wa Rais Magufuli na kwamba sasa amefunzu, na akatuhakikishia watanzania kwamba nchi iko salama chini yake.

Kwa hakika Tanzania chini ya Rais Samia iko salama, anao uwezo wa kuyafanya aliyokuwa akiyafanya Rais Magufuli, kwa sababu amekuwa sehemu muhimu sana ya mabadiliko haya tuliyoyashuhudia Tanzania katika uongozi wao wa awamu ya tano.

Rais Samia si mgeni katika mipango na miradi yote ambayo imetekelezwa na inayoendelea kutekelezwa nchini, kwa hili ni muhimu tumuamini na tumuunge mkono katika kuhakikisha kuwa Tanzania mpya inajengwa na kukamilika kwa umakini mkubwa.

Aidha ni muhimu sana, Rais Samia akiwa na wasaidizi wa mfanano wa Magufuli ili wamsaidie kwenda haraka na kasi ambayo walikuwa wamefikia yeye na Hayati Magufuli. Ameanza vyema kwa uteuzi wa Makamu wa Rais, kwa sababu ni kweli kwamba wapo watu wachache ambao hawakuwa wanafurahishwa na anachokifanya Rais Magufuli, na hivyo wasingependa mfumo na aina yake ya uongozi uendelee.

Hawa ni wale wanaliokuwa wanatumia uongozi kwa maslahi yao binafsi, hawakujali sana kama wananchi wanapata umeme vijiini, wana zahanati na vituo vya afya, kuna miundombinu imara ya kutosha, wananchi wanafanya kazi kwa uhuru katika nchi yao, na wala haikuwasumbua wafanyabiashara wakubwa walipokuwa wakikwepa kodi, kwa sababu wao walikuwa wanafaidika na hali hiyo.

Kifo cha Rais Magufuli kimewapa fursa watu hawa, si wengi lakini wana nguvu, haraka sana hata kabla hatujamzika shujaa wetu, wameshaanza kufuta nyazo zake. Wameanza vita mitandaoni kushambulia na kuwachafua watu wenye mitazamo inayofanana na Hayati Magufuli, kwa hofu kwamba kuendelea kwa uwepo wao kutaendelea kuwanyima fursa ya kupora rasilimali za nchi hii kama alivyowanyima nafasi hiyo Rais Magufuli.

Wahanga wa kwanza katika vita hii ni wale walioaminiwa kwa dhati na Hayati Magufuli, ambao kwa uadilifu, uchapa kazi wao, wameanza kushambuliwa ili wachafuke waonekane hawafai mbele ya jamii ili kuwapa nafasi waliozoea vya kunyonga, waje kupora tena rasilimali zetu.

Uwezo wa watu hawa kubeba maono ya Rais ya Magufuli na kuyatafsiri kwa vitendo ndicho kinachowaogopesha wale wanaotamani wafute historia na ushawishi wa Magufuli katika serikali ya Rais Samia, ndiyo maana wameanza mapema kurusha mawe na kuwachafua wasaidizi wake muhimu kwa malengo ya kutimiza dhamira yao hii ovu.

Ni vyema tumuombee Rais Samia asimame imara katika kuamua dira na mwelekeo wa Tanzania chini ya uongozi wake. Tunaambiwa tayari ziko juhudi za kutaka kuweka watu ambao kazi yao ya kwanza itakuwa ni kuanza kufuta kila aina ya urithi wa Magufuli na kuturudisha tuliko toka, kama kikundi hiki cha watu wenye nguvu wakifanikiwa kupenyeza ‘watu wao’ kwa sababu zozote zile, itakuwa ni msiba mwingine kwa Taifa.

Matumaini yetu ni kwamba Rais atasimama imara kuepuka ushawishi mbaya wa aina hii kwa ajili ya maslahi ya chama, Taifa na mamilioni ya watanzania ambao maisha yao yaliguswa na kipenzi chao, Rais Hayati John Magufuli. ASANTE SANA JOHN
 
Ivi meko ndio alikua mwanadamu pekee wa kuiongoza tz mbona hajakuepo kipindi cha marais wengine na nchi iliendelea mpaka kumfikia yeye? Acheni uzwazwa kubalini mama la mama ndio raisi wenu kubali kataa ndio imeshatoka hivo samia namba moja lazima mchutame kwake hata kama unamandevu mpaka matrakoni kwake lazima mfyate mkia mama samia wapeleke mputamputa
 
Kwanza Magufuli hajaondoka mapema kama wewe ulivyoanza kuandika hapo juu. Kifo chake ni faraja kwa taifa japo wengi wanajaribu kuficha hisia zao. Nini kitafwata ni maisha kuendelea. Wamekufa viongozi bora kabisa duniani na maisha yaliendelea, sembuse huyu anayepewa sifa ambazo si zake! Eti mwamba wa afrika, wakati hata umwamba wa east africa yenyewe tu hafit.

Acheni kujipendekeza hata kwa watu waliokwisha jifia.
 
20210409_075024.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusonge mbele, tuachane na ubabe na matumizi ya nguvu, pia turejeshe democrasia yetu na tusafishe uchafu wote wa Magufuli kabla ya kuendelea mbele.
 
Najua ipo siku mtanikumbuka, na mtanikumbukwa kwa mazuri na sio mabaya....
 
Maneno meeengi utadhani ye alikua kamungu kadogo😀😀😀😀

Huyo kafa sie tuliopo tunaendelea kuchapa kazi na tulivokua hatumpendi😂😂😂😂

Hizo zumari mnazohangaika kuzipiga mtachoka tuu bora mtulie.

Ulitaka Sukuma Gang eaendelee kutawala au?
 
Ivi meko ndio alikua mwanadamu pekee wa kuiongoza tz mbona hajakuepo kipindi cha marais wengine na nchi iliendelea mpaka kumfikia yeye? Acheni uzwazwa kubalini mama la mama ndio raisi wenu kubali kataa ndio imeshatoka hivo samia namba moja lazima mchutame kwake hata kama unamandevu mpaka matrakoni kwake lazima mfyate mkia mama samia wapeleke mputamputa
Najua hupendi ukweli. Lakini hakuna tena mwenye agenda. Kuna wapiga porojo tu.
 
Mtoa hoja kweli unaishi nchi hii?na bila unafiki unaamini aliyekwenda zake alikua anaipeleka nchi kwenye maendeleo?au tena ni middle class anayejimbia kichwa chake mchangani?hivi hii ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali bado hujaisikia au kuisoma?our late president was a DICTATOR na mimi ninasema bila chembe ya kinafiki hapa na wewe acha unafiki mnatuharibia our future nation
 
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.

Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa aliyoifanya Rais Magufuli kwa takribani mika sita na kubadilisha kabisa Tanzania, nini kitafuata baada ya kundoka kwake ni agenda muhimu kwa mustakabali wa taifa.

Mamilioni ya wananchi waliotokwa na machozi na wengine kutopata usingizi siku walipotangaziwa habari cha kifo chake, waliojipanga barabara na kujaa viwajani toka Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza na baadaye njia nzima toka Mwanza mpaka Chato, vilio, kuzimia na kila aina ya masikito makubwa yalikuwa yanatuma ujumbe mmoja tu, Rais Magufuli alikuwa kweli rais wa wanyonge, aliwakuwa rais aliyegusa maisha yao kwa karibu sana.

Pamoja na kumlilia kipenzi chao, kilio na majonzi yale yalibeba ujumbe mmoja muhimu na mahsusi, nini itakuwa hatma yao, nini hatma ya Tanzania. Na swali hili linajengwa siyo kwa kwa wasiwasi wa kuingiakatika machafuko, hapana, walau katika hilo Tanzania tumevuka mbali.

Msingi wa swali hilo ulikuwa katika msingi wa ustawi wa watu, hasa waanchi wanyonge ambao miaka sita ya Rais Magufuli wameshuhudia ikigusa maisha yao, katika afya, elimu, usafiri, biashara na karibu katika kila jambo kwenye maisha yao.

Rais alikuwa ni kama baba wa kila familia moja moja, kuondoka kwake siyo tu wanaona hawana rais, lakini kwa jinsi alivyogusa maisha yao kwa kuondoa dhuluma, kunyayaswa na wenye pesa, wanajikuta njiapanda, baada ya baba kuondoka nani tena atakuwa mlinzi wa maslahi yao kama familia, kama taifa, nani atawalinda dhidi ya uhuni na uharamia wa wenye pesa kwenye viwanja vyao, mashamba yao, na ukandamizwaji mwingine wa haki zao.

Haya yote ni kazi anayopaswa kujitwishwa Rais Samia Suluhu Hassan, kama alivyosema mweyewe jiji Dodoma kwamba amekuwa mwanafunzi makini wa Rais Magufuli na kwamba sasa amefunzu, na akatuhakikishia watanzania kwamba nchi iko salama chini yake.

Kwa hakika Tanzania chini ya Rais Samia iko salama, anao uwezo wa kuyafanya aliyokuwa akiyafanya Rais Magufuli, kwa sababu amekuwa sehemu muhimu sana ya mabadiliko haya tuliyoyashuhudia Tanzania katika uongozi wao wa awamu ya tano.

Rais Samia si mgeni katika mipango na miradi yote ambayo imetekelezwa na inayoendelea kutekelezwa nchini, kwa hili ni muhimu tumuamini na tumuunge mkono katika kuhakikisha kuwa Tanzania mpya inajengwa na kukamilika kwa umakini mkubwa.

Aidha ni muhimu sana, Rais Samia akiwa na wasaidizi wa mfanano wa Magufuli ili wamsaidie kwenda haraka na kasi ambayo walikuwa wamefikia yeye na Hayati Magufuli. Ameanza vyema kwa uteuzi wa Makamu wa Rais, kwa sababu ni kweli kwamba wapo watu wachache ambao hawakuwa wanafurahishwa na anachokifanya Rais Magufuli, na hivyo wasingependa mfumo na aina yake ya uongozi uendelee.

Hawa ni wale wanaliokuwa wanatumia uongozi kwa maslahi yao binafsi, hawakujali sana kama wananchi wanapata umeme vijiini, wana zahanati na vituo vya afya, kuna miundombinu imara ya kutosha, wananchi wanafanya kazi kwa uhuru katika nchi yao, na wala haikuwasumbua wafanyabiashara wakubwa walipokuwa wakikwepa kodi, kwa sababu wao walikuwa wanafaidika na hali hiyo.

Kifo cha Rais Magufuli kimewapa fursa watu hawa, si wengi lakini wana nguvu, haraka sana hata kabla hatujamzika shujaa wetu, wameshaanza kufuta nyazo zake. Wameanza vita mitandaoni kushambulia na kuwachafua watu wenye mitazamo inayofanana na Hayati Magufuli, kwa hofu kwamba kuendelea kwa uwepo wao kutaendelea kuwanyima fursa ya kupora rasilimali za nchi hii kama alivyowanyima nafasi hiyo Rais Magufuli.

Wahanga wa kwanza katika vita hii ni wale walioaminiwa kwa dhati na Hayati Magufuli, ambao kwa uadilifu, uchapa kazi wao, wameanza kushambuliwa ili wachafuke waonekane hawafai mbele ya jamii ili kuwapa nafasi waliozoea vya kunyonga, waje kupora tena rasilimali zetu.

Uwezo wa watu hawa kubeba maono ya Rais ya Magufuli na kuyatafsiri kwa vitendo ndicho kinachowaogopesha wale wanaotamani wafute historia na ushawishi wa Magufuli katika serikali ya Rais Samia, ndiyo maana wameanza mapema kurusha mawe na kuwachafua wasaidizi wake muhimu kwa malengo ya kutimiza dhamira yao hii ovu.

Ni vyema tumuombee Rais Samia asimame imara katika kuamua dira na mwelekeo wa Tanzania chini ya uongozi wake. Tunaambiwa tayari ziko juhudi za kutaka kuweka watu ambao kazi yao ya kwanza itakuwa ni kuanza kufuta kila aina ya urithi wa Magufuli na kuturudisha tuliko toka, kama kikundi hiki cha watu wenye nguvu wakifanikiwa kupenyeza ‘watu wao’ kwa sababu zozote zile, itakuwa ni msiba mwingine kwa Taifa.

Matumaini yetu ni kwamba Rais atasimama imara kuepuka ushawishi mbaya wa aina hii kwa ajili ya maslahi ya chama, Taifa na mamilioni ya watanzania ambao maisha yao yaliguswa na kipenzi chao, Rais Hayati John Magufuli. ASANTE SANA JOHN
Samahani lakini hii kazi mnayoifanya sasa hivi haiwasaidii! zaidi mtakuwa mnajianika na kujizonga tu. Hii kazi kwa sasa ni sawa na kutokwa na upepo benini! badala ya kuwasaidia itawaumbua!
 
Maisha lazima yaendelee mkuu.Jpm alikuwa na mafanikio yake na mapungufu yake pia
 
😁😂🤣
Huyo alipendwa na genge lake tu, wala hajawahi kupendwa na mwanchi yyte. Tena alivoondoka, 😁😂🤣🙌
 
R.I.P MAGUFULI. ipo siku tutakukumbuka tena tutakukumbuka kwa mazuri na wala sio kwa mabaya.. Kwasababu ulijitoa muhanga kwa ajiri ya watanzania wanyonge. Kwa kawaida sisi watanzania tunacherewa sana kumkubali mtu lkn ipo siku tutakukumbuka
 
Kuua upinzani
Kuminya uhuru wa vyombo vya habari
Vitisho na kupotea kwa watu hasa wakosoaji.
Zilikuwa ni dalili tosha kabisa za kuficha uovu na ufisadi ambao walipanga kufanya.
Hata yaliyoendelea Chato ni ufisadi wa kutisha!
 
Najua hupendi ukweli. Lakini hakuna tena mwenye agenda. Kuna wapiga porojo tu.
Huyo aliekua na ajenda umesikia lipot ya mkaguzi wa hesabu za serikali inacho onesha sasa ? Au unabwabwaja tu mkuu kameze pcm utulize akili na ujipange kuabudu tena kwa mama la mama si ndio kazi yenu wafia matumbo?
 
Back
Top Bottom