Kifuatacho ni kubadilishiwa tu jina la Katiba

Kifuatacho ni kubadilishiwa tu jina la Katiba

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,880
Reaction score
8,424
Salaam,

wazee wenzangu, Kwa akili ya Serkali na wanasiasa wa CCM ninaowaona kwa sasa na namna wanavyotuchukulia watanzania, tukiendelea kukomalia katiba mpya basi watatubadilishia tu jina na kuiita "KATIBA MPYA YA JAMHURI YA KUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2024"

Na kwa wingi wa Watanzania wasiojielewa kama Serkali inavyoamini basi hii kesi ya katiba mpya itakua imetatuliwa kabisa sawasawa na ile ya TUME HURU YA UCHAGUZI YA TAIFA ilivyoisha.

Tukutane October 2025.

🎶 Swala zima Friday 🎧 Godzilla ft Belle 9
 
Back
Top Bottom