Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Je hawawezi kukata rufaa? Maana mtuhumiwa mkuu hajaunganishwa
Kama hiyo kesi ya ubakaji angeshtakiwa na kuhukumiwa huyo anae tuhumiwa kuwa mhusika mkuu "Afande Fatuma", huo utetezi ulio uandika hapo juu ungekua na mashiko.

Rejea kesi ya mauaji ya wafanya biashara madini iliyokua inamkabili kamishna wa polisi Abdalla Zombe na wenzake.
Kwa kufupisha siku ya hukumu jaji alisema, kulingana na ushaidi ulio tolewa mahakamani.

Alie tekeleza mauaji hayo koplo Assad Alawi(mtuhumiwa mkuu), ambaye alitajwa ndiye aliefyatua risasi hakua miongoni ya walioshtakiwa. Alitoloka kabla ya kukamatwa . Basi kesi ya watuhumia wengine haina mashiko. Then akawaacha huru wakina zombe.
 
Imagine utumie your 20's and 30's behind bars kwa sababu ya papuchi mnato tu, tena ya hovyo hovyo tu.
Watatoka wamezeeka
Duniani ni sheria haki ni kwa Mungu🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
 
kama maafande ndi wakamataji ndio watunga kesi ndio wabambikaji unatarajia watamtaja mwenzao ili naye akanyee ndoo, nchi hiyo kimsingi ina shida nyingi sana.
 
Watatoka wamezeeka

Duniani ni sheria haki ni kwa Mungu🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
Mshana hivi wanaweza kupata conjugal Rights like kutembelewa na wandani wao na kupata faragha kidogo?
 
Kuna Watu humu mnabanduliwa ila hamtaki kujitangaza wazi, unataka utaratibu upi? Kesi imeendeshwa kwa faragha ni lini ulihudhuria mahakamani?

Hao mbwa hukohuko jela lazima watafutiwe mabwana wa kuwafumuwa mitaro.
Kwahoyo mkuu mie nabanduliwaaa? Hebu tuheshimiane banaa lugha ya kifedhuli si lugha yangu na sipendi mtu aitumie kwangu.
Tuelekezane kwa fact au hata kwa uelewa wa kawaida tu
 
Huyu wakili sasa🥺
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu wakili sasa🥺
Mshana hivi wanaweza kupata conjugal Rights like kutembelewa na wandani wao na kupata faragha kidogo?
Hapana hiyo haipo kabisa nadhani
 
Ni makala ya Eng. Matarra wa Twitter X nimeileta hapa kujadiliwa.. Mwisho wa mada nimemtaja waziwazi
Ndo unatumia jina Hilo kumbe kule twitter?! 🤔

Ila unaandikaga madudu kweli sometimes Engineer matarra kule twitter 😅🙌🏾
 
Maagizo ni maigizo Tanzania
Unanikumbusha kipindi Mkuu wa mkoa Dar mstaafu alipoteuliwa kuwa katibu mwenezi wa chama tawala alivyompigiaga simu Mchengerwa akawa anamvimbia eti LIVE jukwaani na kamuweka loudspeaker na kina Mama wanashangilia Mchengerwa anapewa maagizo na Bashite 😂

Nilicheka! 🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…