Kifungu cha 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) cha CPA (Criminal Procedure Act), kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya (Additional Witness) na sio Ushahidi Mpya (Additional Evidence).
Kinahusu shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye maelezo yake hayakusomwa kwenye (committal) maelezo ya awali.
Mimi ni layman wa sheria lkn hapa nimeelewa.
CC Pascal Mayalla
Kinahusu shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye maelezo yake hayakusomwa kwenye (committal) maelezo ya awali.
Mimi ni layman wa sheria lkn hapa nimeelewa.
CC Pascal Mayalla