Watu tumekuwa tukuamini kwamba vichwa viwili au zaidi ni bora kuliko kichwa kimoja. This belief has been put to test in Lissu’s trial.Notice anayoomba Mwanashria wa Serikali Katunga ikubaliwe na Mahakama siyo Notice ya Additional Witness ni Notice ya Additional Evidence ambayo haipo kwenye kifungu cha 308 cha CPA (Criminal Procedure Act).
Kifungu hicho 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya na sio Ushahidi Mpya. Kinahusu shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye maelezo yake hayakusomwa kwenye (committal) maelezo ya awali.
Mimi ni layman wa sheria lkn hapa nimeelewa.
CC Pascal Mayalla
View attachment 3547806
Yale machizi yaliyorogwa tena hayatakuelewa.Kifungu cha 308 (Additional Witnesses for Prosecution Act) cha CPA (Criminal Procedure Act), kama kinavyosomeka hapo chini kinahusu Shahidi Mpya (Additional Witness) na sio Ushahidi Mpya (Additional Evidence).
Kinahusu shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambaye maelezo yake hayakusomwa kwenye (committal) maelezo ya awali.
Mimi ni layman wa sheria lkn hapa nimeelewa.
CC Pascal Mayalla
View attachment 3547806
Kuna siku watakubaliana na ukweli.Yale machizi yaliyorogwa tena hayatakuelewa.
Upo sahihi hicho kifungu ni cha mashahidi sio ushahidi ila hapo interpretation of laws inahitajika ifunuliwe kuangalia ndani zaidi unayo interpretation of laws hapo?, km huna itafute kisha chimbaKuna siku watakubaliana na ukweli.
Ubaradhuli ndio silaha pekee wanayoitegemea ma CCM kwa kupitia mihimili yake ikiwemo Mahakama.Kuna tetesi kuwa majaji wanaenda kupokea Kwa mikono miwili hoja ya jamhuri, Jana baada ya kupokea maelezo kutoka juu hawa majaji wameshindwa kusimama kwenye ukweli Kwa kuogopa