Kifungu gani cha Katiba kinazuia Kesi zinaposikilizwa kurushwa mubashara Runingani? Mahakama ni muhimili huru?

Kifungu gani cha Katiba kinazuia Kesi zinaposikilizwa kurushwa mubashara Runingani? Mahakama ni muhimili huru?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote.

Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge

Tanzania tunafeli wapi?
 
Tunapenda sana figisu figisu hivyo kuweka mubashara inakuwa sio poa. !!
 
Mambo mengi yanayofanywa hapa Tanzania huwa ni ya aibu, kumbuka hata kipindi kile wabunge wa ccm walivyo kuwa wanafanya .

Mambo ya aibu bungeni, badala ya kujirekebisha wa kapiga marufuku mikutano ya bunge kuonyeshwa live runingani, Aibu, kesi nyingi kwenye mahakama zetu huwa zinaamuliwa pasipo kuzingatia weledi, hivyo lazima zipige kazi kisiri siri, maana ni aibu, mikataba inayoingia serikali na nchi au makampuni ya kibiashara huwa ni ya aibu, ndiyo maana huwa inafichwa mbali mno ili watu wasiione, Aibu
 
Mambo mengi yanayofanywa hapa Tanzania huwa ni ya aibu, kumbuka hata kipindi kile wabunge wa ccm walivyo kuwa wanafanya . Mambo ya aibu bungeni, badala ya kujirekebisha wa kapiga marufuku mikutano ya bunge kuonyeshwa live runingani, Aibu, kesi nyingi kwenye mahakama zetu huwa zinaamuliwa pasipo kuzingatia weledi, hivyo lazima zipige kazi kisiri siri, maana ni aibu, mikataba inayoingia serikali na nchi au makampuni ya kibiashara huwa ni ya aibu, ndiyo maana huwa inafichwa mbali mno ili watu wasiione, Aibu
Duh. !!
 
Tanzania ni magumashi state ndio maana mambo mengi yanafanyika ki magumashi jiulize kwanini matokeo ya urais hayahojiwi popote? Yani hata yakipinduliwa kama inavyofanywa miaka tote huwezi kuhoji popote!
 
Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote.

Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge

Tanzania tunafeli wapi?
Hayo Mambo Yanayofanyika KENYA ni kutokana na UBORA WA KATIBA ya WANANCHI
Tanzania tuna KATIBA ya CCM iliyotungwa na Watu 20 ndio inayoitwa KATIBA ya Nchi
 
Back
Top Bottom