johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunapenda sana figisu figisu hivyo kuweka mubashara inakuwa sio poa. !!Hapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote.
Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge
Tanzania tunafeli wapi?
Duh. !!Mambo mengi yanayofanywa hapa Tanzania huwa ni ya aibu, kumbuka hata kipindi kile wabunge wa ccm walivyo kuwa wanafanya . Mambo ya aibu bungeni, badala ya kujirekebisha wa kapiga marufuku mikutano ya bunge kuonyeshwa live runingani, Aibu, kesi nyingi kwenye mahakama zetu huwa zinaamuliwa pasipo kuzingatia weledi, hivyo lazima zipige kazi kisiri siri, maana ni aibu, mikataba inayoingia serikali na nchi au makampuni ya kibiashara huwa ni ya aibu, ndiyo maana huwa inafichwa mbali mno ili watu wasiione, Aibu
Hayo Mambo Yanayofanyika KENYA ni kutokana na UBORA WA KATIBA ya WANANCHIHapo Kenya siyo Kesi tu bali hata usahili wa kumpata Jaji mkuu hufanywa hadharani kupitia Runinga zote.
Usaili wa kumpata Inspector General wa police hufanywa mubashara ndani ya bunge
Tanzania tunafeli wapi?