Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani we ulivyoisoma hiyo katiba umegundua nini maana unauliza swali la mtego hv!Waungwana,
Katika katiba pendekezwa, kumetajwa haki mbali mbali mfn za akina mama, wazee, vijana, watoto, wasanii, wakulima, wafugaji, nk. Je, kuna kifungu kinacho kataza baadhi ya haki hizo kudaiwa mahakamani iwapo zimekiukwa?
Karibu kwa maoni.
Endelea ila naamini hakuna lkn ni vema ukajidhihirisha na hilo lkn pia badae naweza kuwa nimepata majibu ya hiloNaendelea kuipitia, nilidhani kuna aliye na jibu haraka...
Waungwana,