Kifungua kinywa bora

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
526
Habari zenu wana JF wenzangu,

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbali mbali na watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa matumbo yanajaa ges au wana vimbewa.

Kwanza hakikisha usiku kabla ya kulala unakunywa maziwa fresh ya uvuguvugu yenye vijiko viwili vya asali au green herbal tea yenye asali pia.

Achana kabisa na chapati, maandazi, vitumbua, soseji mbaya zaidi kuna wengi wetu wanakula chips yai na mishikaki asubuhi ...hatarii sana ndugu zangu tena anaongezea na soda juu...OMG!

Fanya hivi:
Madukani mengi siku hizi yana uza maziwa fresh ya mpaka 200ml ambayo unayapasha kisha unachanganya na ama conflakes au muesil au weetabix maana vina fibre nyingi na ni nafaka

Pia mwisho wa siku vinakusaidia kurahinisha chakula tumboni na hutakuja kupata tatizo la kuvimbiwa wala tumbi kujaa gesi.

Pia kwa muda wako jitahidi kula tango, papai, tikiti

Asanteni.
=========


 
Shukrani ndizi mbivu vp asubuhi maana mi mgonjwa kweli wa ndizi kila siku lazima nipate asubuhi
 
Mkuu ndizi mbivu du! mimi nikilaga dushelele inasimama kama mtutu wa bunduki! alafu mashuzi asubuhi.

Ukila mbele panakaza halafu nyuma kunalegea? Unajitamani mwenyewe?.. hilo si jambo la kawaida wahi hospitali.
 
Hiyo menu ya conflakes kwa mtanzania anayeishi kwa dola moja na nusu kwa siku ataweza kweli?
 
Kalagabaho: kwa ujumla matunda ni mazuri muda wote ila usile aina moja kila siku.
 
Funge: hujafuatilia tu kuna weetabix ya 37g inauzwa sh 500/- ambayo ukichanganya na maziwa ni zaidi ya breakfast na lunch....kwani how much di u spend on chips mayai (junk food) per day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…