Kifupi suala la umeme limemshinda kabisa Rais

Kifupi suala la umeme limemshinda kabisa Rais

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu.

Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme.

Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu.
1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere
2. Wanatuhujumu ili Solary za matajili wa Tanzania ocean silent na Gmc.
3.hawataki mamaa agombee uraisi tena
4. Hujuma kutoka USA kuelekea uchumi wa Umemme kutoka mafuta. Ilikuwa hivyo kwa dowansi na Richmond pia.

Ila kuvuka kizuizi management mpya inahitajika kama nmb. Shirika liende kwa ubia....

Huku kijijini sasa umeme unawaka masaa 2 kwa siku. Hali ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom