Kifurushi cha siku 7: Je, mtani huu mziki anauweza?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Good morning Tanganyika!
Leo sisi ni shangwe tu Maana akishinda SIMBA limeshinda taifa na huu sio ushindi wa kawaida ni ushindi wa kumfunga mgeni goli nyingi kwenye mechi ya kimataifa. Na si mechi ya kirafiki.

Shirikisho la mpira Africa CAF hawakusubiri kukuche. Wameupa thamani ya pekee ushindi wa SIMBA wa magoli 7 dhidi ya Horoya kama ushindi wa kihistoria tangu kuanzishwa kwa shirikisho hilo. SIMBA imetengeneza rekodi nyingine! Inastahili heshima, inastahili pongezi.

Karamu ya mabao na vipigo vya goli nyingi si jambo geni kwa mnyama. Hata mtani YANGA alishawahi kupokea hamsa nunge yaani 5 kwa sifuri na hajaweza kamwe kulipa hicho kisasi. Ushindi wake mara zote umekuwa wa kinyonge kama vijana wa kileo kitandani.

Niliposema nitasimama na SIMBA nilimaanisha na nilijua kwa hakika ninachokiongea Leo ni zamu ya mtani.. Ana kihoro cha mechi najua hajui matokeo yatakuwaje. Natengeneza uzalendo wa kumuombea ushindi ili asifadhaike sana. Japo kwa vyovyote vile hata akishinda ushindi wake ni ule ule. Baada ya chali kimoko!

Akifungwa je!?[emoji23]
 
Jana ilikuwa bonanza,mechi ya wanaume ni leo.We kipa gani kila shuti goli? Njoo beki sasa magoli 3 wao ndo wanatoa "assist" sijapata ona.
 
7 O'clock !!! Baelezee Baelewe
Batalokota Benyewe Kunyavu





Boll Itembee, Pira Samba Loketo, Pira Biriani, Pira Kikokoto, Pira Dubai
Raha Sana Mpaka Sasa Hivi Simba Wameiheshimisha Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…