Mshana acha uongo bhna....najua moyoni Nini unaombea ila umefanya kama kuweka uzalendo kwanza....nasema iviiiii...naungana na unachowaza moyoni kwamba wapigweeeee....Sina uzalendo wwte na Hawa nyoka wa kijanGood morning Tanganyika!
Leo sisi ni shangwe tu Maana akishinda SIMBA limeshinda taifa na huu sio ushindi wa kawaida ni ushindi wa kumfunga mgeni goli nyingi kwenye mechi ya kimataifa. Na si mechi ya kirafiki.
Shirikisho la mpira Africa CAF hawakusubiri kukuche. Wameupa thamani ya pekee ushindi wa SIMBA wa magoli 7 dhidi ya Horoya kama ushindi wa kihistoria tangu kuanzishwa kwa shirikisho hilo. SIMBA imetengeneza rekodi nyingine! Inastahili heshima, inastahili pongezi.
Karamu ya mabao na vipigo vya goli nyingi si jambo geni kwa mnyama. Hata mtani YANGA alishawahi kupokea hamsa nunge yaani 5 kwa sifuri na hajaweza kamwe kulipa hicho kisasi. Ushindi wake mara zote umekuwa wa kinyonge kama vijana wa kileo kitandani.
Niliposema nitasimama na SIMBA nilimaanisha na nilijua kwa hakika ninachokiongea Leo ni zamu ya mtani.. Ana kihoro cha mechi najua hajui matokeo yatakuwaje. Natengeneza uzalendo wa kumuombea ushindi ili asifadhaike sana. Japo kwa vyovyote vile hata akishinda ushindi wake ni ule ule. Baada ya chali kimoko!
Akifungwa je!?[emoji23]