Kifurushi cha siku 7: Je, mtani huu mziki anauweza?

Mshana acha uongo bhna....najua moyoni Nini unaombea ila umefanya kama kuweka uzalendo kwanza....nasema iviiiii...naungana na unachowaza moyoni kwamba wapigweeeee....Sina uzalendo wwte na Hawa nyoka wa kijan
 
7 O'clock !!! Baelezee Baelewe
Batalokota Benyewe Kunyavu

Boll Itembee, Pira Samba Loketo, Pira Biriani, Pira Kikokoto, Pira Dubai
Raha Sana Mpaka Sasa Hivi Simba Wameiheshimisha Tanzania
Simba Sports Club
One Team One Dream
Nguvu Moja

imeiheshimisha Tanzania
 
Mshana acha uongo bhna....najua moyoni Nini unaombea ila umefanya kama kuweka uzalendo kwanza....nasema iviiiii...naungana na unachowaza moyoni kwamba wapigweeeee....Sina uzalendo wwte na Hawa nyoka wa kijan
naungana na unachowaza moyoni kwamba wapigweeeee....Sina uzalendo wwte na Hawa nyoka wa kijan[emoji23]
 
Kaka mshana na Ushabiki wangu kindakindaki wa Yanga, niwapongeze watani zangu..... Na niseme bado nipo kwenye sala maana naona sina namna baadae leo baada ya record uliyoweka.
 
Hawa hakuna haja yakuwaombea kaka, wapigwe tuu..... hawa jamaa hawatupendi wala hawapendi ushindi wetu wapigwe tuu siwezi kuiombe yanga kwakweli, nimeamka ila bado nina usingizi ngoja nirudi kulala
 
Jana ilikuwa bonanza,mechi ya wanaume ni leo.We kipa gani kila shuti goli? Njoo beki sasa magoli 3 wao ndo wanatoa "assist" sijapata ona.

Mmeanza kulia lia mechi ya wanaume?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kujifariji leo kichapo kipo pale pale wle waarabu lazima wawachape zakutosha
 
Kaka mshana na Ushabiki wangu kindakindaki wa Yanga, niwapongeze watani zangu..... Na niseme bado nipo kwenye sala maana naona sina namna baadae leo baada ya record uliyoweka.
Asante sana mtani [emoji1545][emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…