Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 450
- 757
Ooh, unafanyaje mkuu kuipata?
Menu hiyo hiyo namba 1 offer chapchapOoh, unafanyaje mkuu kuipata?
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Nashaanga, kwa nini asingefungua kwa ajiri ya miamoja aise,😏😏
Sasa hapo bonyeza alama ya reli kuendelea kupata vifurushi vingineMkuu..acha kupotosha VODA sasa HV mbona hawana of a mzuri ..angalia mwenyewe iyo super UNI kwa sasa halafu njoo na mrejesho!View attachment 1010558
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona naona tofauti hiyo ya 1000 1Gb kwa siku 7 diioni
Tatzo huku kwetu zantel hamna kabisaKaribu Zantel .... Mambo Safi Kitu Bao bila kikomo ..... 1GB kwa buku had I umalize wewe
Tena kwa Kasi ya 4G+
Hapo kweli kaka. Sielewi huu ni ubaguzi wa aina gan. Mwingine anapata 2500/= cha week wakati mwingine 2000/= hicho hicho cha weekMkuu..acha kupotosha VODA sasa HV mbona hawana of a mzuri ..angalia mwenyewe iyo super UNI kwa sasa halafu njoo na mrejesho!View attachment 1010558
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu..acha kupotosha VODA sasa HV mbona hawana of a mzuri ..angalia mwenyewe iyo super UNI kwa sasa halafu njoo na mrejesho!View attachment 1010558
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa gan huo, kwa sasa inakopaikana Tigo na Zantel pia inapatikana sabb wana share minaraTatzo huku kwetu zantel hamna kabisa
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Mkuu...naona hawajakupa offer ya wiki ya GB 1 kwa Tsh 1000 kwenye line yakoMkuu mbona naona tofauti hiyo ya 1000 1Gb kwa siku 7 diioniView attachment 1010590
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Mbona hata mm napata hvyoMgonjwa wewe, Hiyo voda ya baba'ako!?
Achana na hao wapuuzi wote, hamia zantel. Kama sio mfujaji wa bando kwa GB1 unaweza tumia kadri utakavyo, haina ukomo gharama yake ni buku tu. Speed ni 4G maana wana roam kwenye minara ya Tigo!Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa
Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye vocha za jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua 5000 hichi cha 13 gbOFA YA BUNDLE KWA WATUMIAJI WA HALOTEL TU;
Dakika 120 mitandao yote, Dakika 300 halotel, sms 500 na 2gb. Kwa mwezi tsh 6000
Gb 4.5 dakika 600 halotel plus 240 mitandao yote ,kwa mwezi tsh 8000 tu
Pia Kuna Cha gb 13 per week gharama yake elfu 8500
Mawasiliano: 0625796805