Kifurushi cha Vodacom cha 500

Kifurushi cha Vodacom cha 500

Menu hiyo hiyo namba 1 offer chapchap

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona naona tofauti hiyo ya 1000 1Gb kwa siku 7 diioni
Screenshot_20190201-170301.jpeg


Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Karibu Zantel .... Mambo Safi Kitu Bao bila kikomo ..... 1GB kwa buku had I umalize wewe
Tena kwa Kasi ya 4G+
 
Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa

Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye vocha za jero

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hao wapuuzi wote, hamia zantel. Kama sio mfujaji wa bando kwa GB1 unaweza tumia kadri utakavyo, haina ukomo gharama yake ni buku tu. Speed ni 4G maana wana roam kwenye minara ya Tigo!
Screenshot_2019-02-18-09-42-11.png
 
Nenda kwa mangi kwa mia tano tu utajipangia kipi ununue.
1.Portable barid.
2. Maji 500ml
3.Salama Condom 3bomba.
4.Sabuni ya kipande.
 
OFA YA BUNDLE KWA WATUMIAJI WA HALOTEL TU;


Dakika 120 mitandao yote, Dakika 300 halotel, sms 500 na 2gb. Kwa mwezi tsh 6000

Gb 4.5 dakika 600 halotel plus 240 mitandao yote ,kwa mwezi tsh 8000 tu

Pia Kuna Cha gb 13 per week gharama yake elfu 8500

Mawasiliano: 0625796805
 
OFA YA BUNDLE KWA WATUMIAJI WA HALOTEL TU;


Dakika 120 mitandao yote, Dakika 300 halotel, sms 500 na 2gb. Kwa mwezi tsh 6000

Gb 4.5 dakika 600 halotel plus 240 mitandao yote ,kwa mwezi tsh 8000 tu

Pia Kuna Cha gb 13 per week gharama yake elfu 8500

Mawasiliano: 0625796805
Chukua 5000 hichi cha 13 gb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom