Kifurushi chekundu cha Simba ni kama jezi namba 6 ya Yanga

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Mpaka sasa kifurushi hicho kimekuwa kikikata mitaa tu na tayari kiko mkoani Kilimanjaro. Wenyewe wanasema kimesheheni Jezi mpya lakini nani mwenye uhakika kama siyo zile hadithi za majirani wao juu ya Jezi namba 6 ambayo bado ni kitendawili?

Hamna lolote.

Jezi zinaingia tarehe 20 ambayo ni siku ya al hamis kutoka CHINA,

Mmezugwa ili kufichwa ukweli kuwa jezi zimekawia kufika.
 
Hamna lolote.

Jezi zinaingia tarehe 20 ambayo ni siku ya al hamis kutoka CHINA,

Mmezugwa ili kufichwa ukweli kuwa jezi zimekawia kufika.
Uto bna kila kitu kwenu kimebuma mmebakia kuwa wachambuzi wa kibegi cha jezi za simba
 
Hamna lolote.

Jezi zinaingia tarehe 20 ambayo ni siku ya al hamis kutoka CHINA,

Mmezugwa ili kufichwa ukweli kuwa jezi zimekawia kufika.
Unaumia ukiwa wapi
 
Nataka niwashairi Simba Na Sunderland wauze aina Hiyo ya begi na JEZI zote 3.

Kwa gharama ya shilingi laki mbili.
200, 000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…