KERO Kifusi barabara ya Muungano B na Michese Bwawani, Dodoma kimekuwa kero

KERO Kifusi barabara ya Muungano B na Michese Bwawani, Dodoma kimekuwa kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jevin Samweli

New Member
Joined
Mar 21, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Msimu wa mvua umeanza ndani ya jiji la Dodoma.

Katika mchakato wa kuweka hali za barabara zetu katika hali nzuri serikali ya mkoa/halmashauri ya jiji la Dodoma ilimwaga kifusi katika barabara inayoenda mtaa wa muungano B na michese bwawani. Lakini mvua imeanza na kifusi hakijasambazwa.

Hii inasababisha ufinyu wa barabara na kero kwa watumiaji. Pia barabara imekuwa na makorongo sana.
 
Back
Top Bottom