Msimu wa mvua umeanza ndani ya jiji la Dodoma.
Katika mchakato wa kuweka hali za barabara zetu katika hali nzuri serikali ya mkoa/halmashauri ya jiji la Dodoma ilimwaga kifusi katika barabara inayoenda mtaa wa muungano B na michese bwawani. Lakini mvua imeanza na kifusi hakijasambazwa.
Hii inasababisha ufinyu wa barabara na kero kwa watumiaji. Pia barabara imekuwa na makorongo sana.