The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Benson Kigaila ameeleza kuwa chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 katika mazingira yoyote akieleza kuwa mabadiliko yataletwa kwa 'kuingiza timu uwanjani, na si kuuepuka.
Kigaila ameyasema hayo wilayani Mpanda mkoani Katavi wakati akihutubia katika mkutano wa hadhara kama sehemu ya operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Wanasema tusiende kwenye uchaguzi kwasababu tukienda kwenye uchaguzi, uchaguzi unaibiwa..tunatakiwa kubadilisha mbinu za kupambana na hawa watu na kupambana nao kituoni. Uchaguzi unaibiwa kituoni, twende tukafie kituoni ili hawa majamaa wafungashe virago", ameeleza Kigaila.