Ameshakunja mshiko wake saafi kabisa, anaunga mkono juhudi.
Sijawahi kuwaamini wanasiasa ππ€£
Mwanasiasa hata akikwambia usitoke nje kuna mvua, nawe unasikia maji kweli juu ya bati,
Usikubali, toka uangalie, huenda kakodi hata gari la zimamoto, wamwagilie juu ya paa lako
ππ€£
Sina imani kabisa taifa hili litakuja kukomboka kwa kumpata kiongozi mwenye uchungu na taifa, mwenye nia ya dhati na maendeleo ya taifa.
Uzalendo umeuliwa na sumu ya upigaji, imefika hatua hata wale wanaopiga kelele za demokrasia, maendeleo n.k wakipata nafasi wanakaa kimya.. kina mtatiro, mch.msigwa, prof kitila mkumbo, yule TUMBILI π wa PPP na wengineo wengi wengi wengi...