PreGE2025 Kigaila: CHAUMMA kitakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania

PreGE2025 Kigaila: CHAUMMA kitakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
View attachment 3341121
Safi sana…. Naiona nguvu Fulani kwa Kigaila!! Sina shaka nae maana alikua jembe hata huko CDM!! Hakika CHAUMMA inaenda kuwa tumaini la watanzania.
 
Mpaka iwe hivyo. Huko chauma atakuja nani? Wananchi wapo ma Lissu brother.

Chukua mfano wa Agustino Mrema na Jemsi Mbati NCCR mageuzi. Angehama Lissu ndiyo Chadema ingekufa.

Hivi huu mfano mabadiliko yakifanyika na Chadem ikaingia kwenye uchaguzi mtaongea nini tena? Mtaanza kuuwa viongozi wa Chadema sio
CHAUMMA Ndio chama pekee cha upinzani kimeonesha njia sahihi!! Huko kwingine ni uhuni tupu
 
Hata wenyewe wanajua wanacho ongea ni uongo so cha msingi vijana wapate ubwabwa tuu, na wale wanao watoa mikoani wahakikishe wanalipwa kama walivyo kubaliana
 
Mbio hizi zisiishie baada ya uchaguzi tu, idadi ya vyama vyenye uhai ikiongezeka kuna faida pia.
 
Hiki chama kimekufa rasimi leo tusubilie mazishi yake rasimi
 
Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
View attachment 3341121
Kikubwa kweli
FB_IMG_1747750240851.jpg
 
Mwizi wa muhuli makao makuu kumpa mkeo ubunge wewe ndiyo ati uifanye chauma iweje?

Wewe hata udiwani huwezi pata...labda upewe na CCM bure.
 
Back
Top Bottom