PreGE2025 Kigaila: CHAUMMA kitakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tambo za Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara CHAUMMA, Benson Kigaila, aisagia CHADEMA na kueleza kuwa chama chake itakuwa kikubwa kuliko vyama vyote Tanzania na kwamba adui mkubwa wa CHAUMMA ni CCM.
View attachment 3341121
Safi sana…. Naiona nguvu Fulani kwa Kigaila!! Sina shaka nae maana alikua jembe hata huko CDM!! Hakika CHAUMMA inaenda kuwa tumaini la watanzania.
 
CHAUMMA Ndio chama pekee cha upinzani kimeonesha njia sahihi!! Huko kwingine ni uhuni tupu
 
Hata wenyewe wanajua wanacho ongea ni uongo so cha msingi vijana wapate ubwabwa tuu, na wale wanao watoa mikoani wahakikishe wanalipwa kama walivyo kubaliana
 
Mbio hizi zisiishie baada ya uchaguzi tu, idadi ya vyama vyenye uhai ikiongezeka kuna faida pia.
 
Hiki chama kimekufa rasimi leo tusubilie mazishi yake rasimi
 
Mwizi wa muhuli makao makuu kumpa mkeo ubunge wewe ndiyo ati uifanye chauma iweje?

Wewe hata udiwani huwezi pata...labda upewe na CCM bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…