PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kigaila muogope Mungu wako. Ujue huko kuna watu ndugu zetu, wanasema kinachoendelea
Yaani Kigaila na wenzake ni watu wa ajabu kweli.
Tuna wake, michepuko, watoto na mama watoto kati ya hao waliopo nao ndani ya G55, ambao wanatuambia kila kitu, halafu yeye anasema kinyume, tena bila hata hofu ya Mungu!!
 
"Wadau"
IMG-20241003-WA0000.jpg
 
Wapi chedema wamefuatilia chauma? Weka uthibitisho
ccm ndiyo hufuatilia chadema kutumia mabilioni ya walipa kodi kuidhoofisha chadema na wajinga wachache huko ccm hutumia kusingizia cha kupiga pesa kifisadi kama anavyofanya makala sasa akimtumia mbowe kuwanunua G55 kuwasokomeza Chaumaccm
 
Yaani Kigaila na wenzake ni watu wa ajabu kweli.
Tuna wake, michepuko, watoto na mama watoto kati ya hao waliopo nao ndani ya G55, ambao wanatuambia kila kitu, halafu yeye anasema kinyume, tena bila hata hofu ya Mungu!!
kijitu gaidi sana hiki
 
Yaani Kigaila na wenzake ni watu wa ajabu kweli.
Tuna wake, michepuko, watoto na mama watoto kati ya hao waliopo nao ndani ya G55, ambao wanatuambia kila kitu, halafu yeye anasema kinyume, tena bila hata hofu ya Mungu!!
Hako kazee kigaila ni kazee ka hovyo sana na usikute hata pesa aliyopewa na mbowe ni kidogo sana kwani huwa hajitambui
 
Mradi haramu wa kuwasokomeza G55 huko chauma-ubwabwa utawatokea puani, kwani si watu makini ni vigeugeu sana hawatakawia kugeukana kwa Salum mwalimu ni mtu mnafiki na pia mzinzi sana Rushwa ya ngono itatawala na huenda wakampindua Hashim Rungwe wakampora cha chake ubwabwa
 
Yaani Kigaila na wenzake ni watu wa ajabu kweli.
Tuna wake, michepuko, watoto na mama watoto kati ya hao waliopo nao ndani ya G55, ambao wanatuambia kila kitu, halafu yeye anasema kinyume, tena bila hata hofu ya Mungu!!
Si mseme tu wanachowaambia? Bila shaka wana mpaka ushahidi.

Ila kumbukeni fitna na kumshuhudia jirani yako uongo ni dhambi kubwa sana.

Amandla...
 
Ukweli utakuweka huru. Tuambie nini kinachoendelea Chaumma.

Amandla...
Chaumaccm au chaumaubwabwa imesokomezewa magalasa na mbowe yaani chama kinaenda kuwa chama cha majungu haijapata kutokea kwani G55 ni kikosi cha usengenyaji ni wapenda majungu sana, Mzee Rungwe jiandae kufa kwa pressure
 
Si mseme tu wanachowaambia? Bila shaka wana mpaka ushahidi.

Ila kumbukeni fitna na kumshuhudia jirani yako uongo ni dhambi kubwa sana.

Amandla...
Huku mrema mwizi huku Salum mwalimu mzinzi na mnafiki huku kigaila mmbea na majungu chama kitakalika?
 
Mzee Rungwe umeingizwa mkenge madalali wa Siasa Mbowe na makala wamepiga pesa ndefu kukununulia G55 watu ambao 90% ni mashetani, kwa kifupi umeletewa magalasa yaje kukuongezea majungu fitina ufe kwa pressure uwaaachie chama
 
Sera ya ccm ni kuifuatilia chadema kuudhofisha kutumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuihujumu chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwapiga, ccm ya sasa inajiendesha kwa njia haramu za kishetani
Chadema imeshaingia kwenye damu za watu si rahisi kuitoa
 
Nimegundua yeye hayumo. Na hawezi kuhama. Ila tu hata kama alipanga kupumzika kupisha pia uongozi mpya kuuchia nafasi lakini kipindi hiki ilipaswa sana asitishe likizo yake ajaribu kuweka upande wa hao wajinga wachache. Japo hao akina Kigaia hawana maadhara yoyote wakiondoka CHADEMA.

Hata huko ccm+Chaumma watatumika tu kwa muda kidogo.👇


View: https://youtu.be/QGOGoNDf2Cc?si=44NeMO9y8FQYqjUj

Huo ni mseto wa majungu uzinzi wizi unafiki na mambo yote ya hovyo
 
Back
Top Bottom